Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

Mpige ngwala akiamka ajikute yuko Gamboshi...

Hatorudia tena.
1659865727644.png
 
Mtu akishakuwa amezoea kila kitu hafanyi mpaka aambiwe matokeo yake ndio haya
Ndoa yenyewe mzazi ndio kasema sasa junior unatakiwa uoe 😀😀😀 unategemea nn tena hapo
 
Bora kila mtu arudi kwao kwa amani kuliko kurudi Maiti kama ilivyotokea kule mwanza na tukio la juzi la wale ma engineer better to part away with smile than to return home inside the coffin it's more dangerous.
 
Kuna mama mmoja alilea watoto wake kwa shida sana, kijana wake akapata kazi, akaoa. Kijana kamjengea mama yake nyumba na anamsaidia tu maana mama yake alikuwa akiishi kwenye kinyumba kidogo tu. Huyu kijana ndio mtoto wa kiume pekee, ana dada zake 3 wameolewa na mmoja yupo nyumbani kazaa tu. Kaka anamlea mama yake na ndugu zake vizuri tu. Ila mama yake hataki mwanae aoe anasema nimehangaika na wanangu halafu raha wapate wengine? Basi Ndoa ni visa vitupu, mara mama ampigie mwanae simu alalamike wazazi wa mkeo hawaji kunisalimia, kijana nae anamfokea mkewe kwa nini mama yako haendi kwetu, basi visa vimekuwa vingi kamlima talaka 3 kisa kijana anamsikiliza sana mama yake.
 
Back
Top Bottom