Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Haupo peke yako dizaini hiyo mkuu wanaita INTROVERT. Jitahidi kutoka huko kama wazazi wako wanavyokuambia Watu ndio Maisha Usipendelee hiyo hali ikikomaa itakuwa ni disaster.Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Nina simu kubwaUsijiue ni mambo ya kawaida katika hatua za awali za balehe. Una simu kubwa au ndogo?
Yupo Housegirl, nilipoanza tu form 1 boarding akaletwa housegirl hapa ndio yupo hadi leo. Nilipomaliza advance nimerudi nimekuta ana mimba, ingawa hatujamrudisha naona wazazi wameamua kumsaidia kulea ujauzito wake maana uchumi kwao sio mzuri halafu ametusaidia kazi nyingi hapa homeWanahisi una stress na ndio ukweli
Wanakuambia ukae na wenzako ili upate kujiamini na kuwa mtu badala ya mnyama (socialization is a part of human nature)
Kujichua kwa muda mrefu na shida ya erection inakusababisha ukose kujiamini. Jitahidi ujichanganye
Jiunge na masomo hata ya dini kwa wakristo , bible study,fellowship na maombi, waroma hudhuria misa za alfajiri kila siku. Kwa waislamu jiunge na madrasa iliyo karibu
Kama sio mpenzi wa hayo tafuta maeneo ya kufanya mazoezi kama boxing, judo,karate au michezo mingine ya saa za mapigano ukishindwa beba mavyuma utengeneze mwili mtoto wa kiume
Piga push up kwa kuanzia 50
Hapo nyumbani kuna house girl?
Nitaendelea ukijibu
Ngumu kujiamini wakati nishajiharibu na masturbation. Sikuhizi erection ziko weak. Tangu nimeacha masturbation haujafika hata mwezi na hali sio nzuri bado. Napaswa kutafuta tiba kwanzaTafuta dem uwe unatomba. Kula bangi na pombe, ila kiasi . Kuwa muhuni muhuni
Sasa ushoga si ni tabia ya mtu. Mi siwezi kuwa shogaMashoga wenzio walianza hivyo hivyo
Nimepua angalau, nilidhani mwangu tumekutana JF, hapo kwenye dini ndio kidogo vimepishana ila mwingine dah! yaani Uzi huu, basi nimeamini coincidence is really!Ni watu wa kawaida tu, hawajashika sana dini. Mama muislam baba ni mkristo na wote sio wafia dini. Muda mwingi wapo aidha kazini au nyumbani. Sio watu wa kutoka out au nini
Weekend wanakesha nyumbani na familia
Tafuta dem dogoNgumu kujiamini wakati nishajiharibu na masturbation. Sikuhizi erection ziko weak. Tangu nimeacha masturbation haujafika hata mwezi na hali sio nzuri bado. Napaswa kutafuta tiba kwanza
Je una demu?Yupo Housegirl, nilipoanza tu form 1 boarding akaletwa housegirl hapa ndio yupo hadi leo. Nilipomaliza advance nimerudi nimekuta ana mimba, ingawa hatujamrudisha naona wazazi wameamua kumsaidia kulea ujauzito wake maana uchumi kwao sio mzuri halafu ametusaidia kazi nyingi hapa home
Bado uko kwenye balehe. Ikiisha utawaelewaMimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Hii itagusa wengi, nyeto na upekee ni pete na kidoleππππππ.Vitoto vya buku mbili bhn sasa huon wazaz wanakupenda sana. Wazaz wanajua ukikaa mwenyew huko utakula sana nyeto mwishowe ushindwe kuzalisha fala wewe.
Au yule mkimbizi wa kondegang aliyeandika ''kakakondenajuaumenisaidiavingi rakinihatamimininandoto zangukamakijana hanahetafutaherazakuwasahidiawengine" πIla kuwa na elimu raha, imagine mada hii ingeandikwa na Dotto Magari.
WASOMI HIππππ.