Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto aache kucheza aende kubebeshwa mastress ya shule? Atasoma chekechea Umri huo wa miaka 5 au 6Inawezekana ni kukosa hela au sababu nyingine suala linalofanya wazazi wawapeleke watoto shule wakiwa na miaka mitano ili wakiwa na miaka sita waingia Darasa la kwanza. Hii ni sababu ambayo nimeitoa mimi kwa kuwa Shule za awali nyingi zinamilikiwa na serikali, i.e katika shule 18,554 zilizosajiliwa 89.48% zinamilikiwa na serikali. Hivyo sababu inaweza kuwa kweli wazazi wanapenda kukaa na watoto wao au hawataki kuwapeleka shule mapema ili wapate muda wa kuishi nao nyumbani
View attachment 2031596
Hii sio kusema kuwa walio chini ya miaka mitano au zaidi hawaandikishwi shule ya awali angalia graph hii
View attachment 2031599
Kwa Idadi hiyo utaona watoto wanaoandikishwa zaidi ni wenye miaka 5, ambao hukaa mwaka mmoja na kuingia darasa la kwanza wakiwa na miaka 6 wazazi wanaopeleka watoto wakiwa na miaka 3 ni wachache sana, huku wengine wengi wakiwapeleka watoto shule za awali wakiwa wamechelewa
Data zilizotumika ni kutoka TAMISEMI
Naziogopa PM kama ukomaNina 51. Wee mwenyewe njoo DM basi tufahamiane zaidi.