Wazazi wengi huwaandikisha watoto shule za awali wakiwa na umri wa miaka mitano

uvivu wa kulea ndio kichocheo cha kukimbiza watoto shule,mtoto wa miaka 3 anaenda kusoma nini!!!!!
 
Mtoto aache kucheza aende kubebeshwa mastress ya shule? Atasoma chekechea Umri huo wa miaka 5 au 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…