Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Uko sahihi kabisa!

Just imagine unaoa kabila wanatoa maji, Licha ya maji wanagawa ovyo kama karanga, Shikilia hapohapo wengine wanapenda pesa kuliko mume

Kwanini wazazi wasikatae?

Enewei na mimi nimeoa mnyakyusa ni mtam kweli
 
Sababu walikuwa wanaamini Tabia ni kama ngozi ya mwili kuibadili ni kazi,hizo tabia zilithishwa wakati Jamii nyingi wanakaa pamoja hamna mwingiliano wa Watu ila kwa sasa imepungua kwa kiasi kudogo.
1.Wanawake wa kihaya wengi ni Malaya
2.Wanawake wa Kinyakusya wengi wabinafsi na hapa Mara mia uoe Mchawi.
3.Wanawake wa Kichaga hawana Utu achelewi kukuwekea simu ili tu Mali mlizochuma wote abaki nazo yeye.
 
Kwa Mnyakyusa, atakayekupinga jua ni mwanamke wa Kinyakyusa.
 
Wanyakyusa wa Tukuyu, Ubabe. Ukimuoa labda ukubali kuwa chini yake.
 
Una maana gani unaposema wazazi wengi?
Swali hili linaonyesha ulivyo mbumbumbu kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…