Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Hivi huwa ninaoa mke kwa ajili yangu au ya wazazi.....mimi mzazi akinipangia kabila la kuoa tunagombana mapema sana
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
Wanyakyusa mafiga matatu
 
Bora hata mchaga unaweza kaa naye ila mnyakyusa hasa wale wa kyela ndiyo balaa tupu ujiandae kuchapiwa, kupewa midawa na ukiishiwa hela anahamia kwa mwingine ,, Yani kwa ujumla ukitaka usipate stress za ndoa oa kabila lako ,, mda ukifika wa kuoa nenda kaoe kijijini kwenu hutojuta
Huyo malaya hawezi kutoka kwenye kabila lenu
 
Mi msimamo wangu uko pale pale tu:
1.Malezi
2.Malezi
3.Malezi

Ukioa binti ambaye kwao hamna mkubwa wala mdogo ujue umeisha!

Ukioa binti ambaye ambaye hatambui majukumu yake kama binti ujue yajayo hayatakufurahisha.

Ukioa binti wa vigagula ujue you are no longer my brother!

Hata kama binti anashea ukoo na Yesu umeisha
 
Bora hata mchaga unaweza kaa naye ila mnyakyusa hasa wale wa kyela ndiyo balaa tupu ujiandae kuchapiwa, kupewa midawa na ukiishiwa hela anahamia kwa mwingine ,, Yani kwa ujumla ukitaka usipate stress za ndoa oa kabila lako ,, mda ukifika wa kuoa nenda kaoe kijijini kwenu hutojuta
Mkuu hii comment yako inafanya tuzidi kubaki single girls wa kinyakyusa 😒, naamini kabila hali determine tabia ya mtu bana, anaweza kuwa kabila lingine na akawa na tabia mbovu pia, afu wanyaki ni wastaarabu sana.
 
Ila wameanza kudanga sikuhizi, hii sidhani kama ni ustaarabu 😂😂😂
 
Kama uoi au kuolewa na makabila hayo,itabidi usubiri sana,hao ndio cleam of the nation,the most educated,entrepreneurial,the most elites,wamejaa kila sekta,afya,madini,fedha,security,
Nchi hii ina makabila zaidi ya 120,lakini uchumi unashikwa na makabila yasiofika 10!
Na the top most,ni hao,haya,chaga,nyakyusa,then wanafata,sukuma,wakinga,na wenyeji wa mara,
Mkuu unasema hao ndio cream of the nation alafu unazungumzia uchumi (wajasiriamali) na elimu tu (wasomi)......

kuna vingi vinahitajika katika ndoa, hivyo viwili yani uchumi na elimu, vinaweza hata visihitajike kabisa katika ustawi wa ndoa.....

Yes anaelimu nzuri na uchumi mzuri kwa kuwa mjasiriamali mzuri, ila hajui hata kupika mchicha, mshirikina, mbinafsi, mchoyo, lugha chafu, malaya hiyo elimu yake na pesa zake mimi zitanisaidia nini wakati sio mke bora.
 
Mimi nazn kwa Sasa swala la kikabila na Tabia linanafasi Ndogo sio kubw Kama zaman

Japo tamaduni huw zinabeba jamii pamoja na uelew wa Mtu Binafsi
 
Wanyakyusa ni wabinafsi sana..
 
Kama uoi au kuolewa na makabila hayo,itabidi usubiri sana,hao ndio cleam of the nation,the most educated,entrepreneurial,the most elites,wamejaa kila sekta,afya,madini,fedha,security,
Nchi hii ina makabila zaidi ya 120,lakini uchumi unashikwa na makabila yasiofika 10!
Na the top most,ni hao,haya,chaga,nyakyusa,then wanafata,sukuma,wakinga,na wenyeji wa mara,
[emoji3516]
HABARI ZA ASUBUHI NDUGU_MUTASHOBYA.
 
Back
Top Bottom