Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Hivi huwa ninaoa mke kwa ajili yangu au ya wazazi.....mimi mzazi akinipangia kabila la kuoa tunagombana mapema sana
 
Wanyakyusa mafiga matatu
 
Huyo malaya hawezi kutoka kwenye kabila lenu
 
Mi msimamo wangu uko pale pale tu:
1.Malezi
2.Malezi
3.Malezi

Ukioa binti ambaye kwao hamna mkubwa wala mdogo ujue umeisha!

Ukioa binti ambaye ambaye hatambui majukumu yake kama binti ujue yajayo hayatakufurahisha.

Ukioa binti wa vigagula ujue you are no longer my brother!

Hata kama binti anashea ukoo na Yesu umeisha
 
Mkuu hii comment yako inafanya tuzidi kubaki single girls wa kinyakyusa πŸ˜’, naamini kabila hali determine tabia ya mtu bana, anaweza kuwa kabila lingine na akawa na tabia mbovu pia, afu wanyaki ni wastaarabu sana.
 
Mkuu hii comment yako inafanya tuzidi kubaki single girls wa kinyakyusa πŸ˜’, naamini kabila hali determine tabia ya mtu bana, anaweza kuwa kabila lingine na akawa na tabia mbovu pia, afu wanyaki ni wastaarabu sana.
Ila wameanza kudanga sikuhizi, hii sidhani kama ni ustaarabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu unasema hao ndio cream of the nation alafu unazungumzia uchumi (wajasiriamali) na elimu tu (wasomi)......

kuna vingi vinahitajika katika ndoa, hivyo viwili yani uchumi na elimu, vinaweza hata visihitajike kabisa katika ustawi wa ndoa.....

Yes anaelimu nzuri na uchumi mzuri kwa kuwa mjasiriamali mzuri, ila hajui hata kupika mchicha, mshirikina, mbinafsi, mchoyo, lugha chafu, malaya hiyo elimu yake na pesa zake mimi zitanisaidia nini wakati sio mke bora.
 
Mimi nazn kwa Sasa swala la kikabila na Tabia linanafasi Ndogo sio kubw Kama zaman


Japo tamaduni huw zinabeba jamii pamoja na uelew wa Mtu Binafsi
 
Wanyakyusa ni wabinafsi sana..
 
[emoji3516]
HABARI ZA ASUBUHI NDUGU_MUTASHOBYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…