Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Usitumie nguvu kubwa sana kuelezea vitu vidogo mkuu,inafika hatua unapoteza maana.
 
Mtu anavyojibu tu unaelewa analiwakilisha vipi kabila lake,so mada kama hizi lazima zijae.

Kuna mmoja apo mwanzo katapika nyongo kisa tu kupinga hii suala linakatazwa na wazazi wengi.Shame on you

Haya masuala hatutakiwi kukataa eti hayapo,tunatakiwa tukubali kua yapo BUT ni vitu visivyofaa kuendekezwa na tuelimishane ili watoto wetu wasiface situation za ukabila.

Sasa unakuja unakataa just because kabila lako limeorodheshwa,jiamini kama wewe ni mtu fresh,unatengeneza pesa yako safi,unaishi poa na watu,unahangaika nini?Elimisha tu sio kujifanya suala hili halipo au kutaka kuprove kua kabila zima lipo safi,which is FAR FROM TRUTH.

Anko Jei
 
KUHUSU KUOA(SIO KUOLEWA).

Maana mume ndio huchagua sio mke.

SABABU:

Wachagga(Machame)= Wanawake wa kimachame wanapenda shirikiana na mama zao,kuhamisha Mali za familia walioolewa,wako tyr kuua mme ,ili kumilik Mali na hawaoni hasara kuishi mjane, (inasemekana waaminifu na wanamoyo wa kusaidia mpk ufanikiwe ndio anakuondoa/kuua). Na unaweza mshauri lolote ila baba ake akikataaa,basi jua hawez Fanya hata kama wewe ndio kichwa cha familia,maana wazeee tunasema baba zao wazazi(mkwe baba) ndio anawabikiri watoto zake wa kike kabla et....


Wahaya:- Wanawake wa kihaya,rahis kutoa tunda kimasihara,wamejaaa sinza,tandika,oystbay,etc...kwahyo hyo ndoa itakuwa na mgogoro. Ila wako vzr ktk kusaidia na kutunza familia.


Wanyakyusa: Wanawake wa kinyaki,
Wanapenda kutembelea tembelea ndugu na kugawa chini hukohuko,(huwez mzuia kumtembelea ndugu ake,maana wa asili ya ubabe)

Wanapenda yeye ndio awe kichwa cha familia,na akiwa na kazi kidgo utafurah na shoo maana,maelewano ndani hakutakuwa nayo....ila wachapakaz na kwa nje ya familia wako poa sana,na marafiki wazuri ,shida ndani ya ndoa/familia moto unawaka,hawashauriki...ndio wanaongoza kuwa masingle maza..


NB: MLIPO KWAZIKA MNISAMEHE.


NENO LANGU SIO SHERIA,


NMEJIBU BILA KUPEPESHA MACHO ILI VIJANA WA LEO WAFAHAU TULIYO JIONEA MIAKA YETU.
 
Jamn mmesahu jamii ya wambulu! Hili nalo wanatabia ya kumfanya mwanaume Mambo mawili

1. Kumloga awe zezeta ili awaeze kutawala nyumbaa

2. Akuloge uondoke home kabisaa ya hukumbuki kwako! Yan hata ubebi hata sindano unaondokaa Kama ulivyoo

3. Pia kwa kugawa papuch* Hawa nomaa sana!
 
Duh,hzo mbili sikuzjua.


Ila nadhan baadh ya watu wanazo hizi tabia hadi leo
 
Oa mhehe
Ukishindwa msukuma
Au hata mmasai.

Hivi ndivyo maoni ya wengi ambao nimewahi kushauriwa nao yalivyokuwa na sababu iliyowapelekea wao kusema hivyo walidai ni kuwa wanaume wengi hususan wakiTanzania wanahitaji zaidi wanawake wa namna hiyo.
Wamasai ni wakorofi hatari sema hawavumi lakini wamo na ni wajeuri hawadumu hata kwenye ndoa wewe daganywa hivo hvo Kuna makabila hayasemwi sana ila wanatabia mbovu kulikoni.
 
Japo me mnyakyusa ila kwenye suala la kuoa mnyakyusa naunga mkono
Ni lazima uwe umejipanga na unamjua vizuri
 
Na ili uwe juu ya mchaga labda uwe na hela ya kuwazidi ukoo mzima, bila hivyo kila december utaenda moshi kutambika kwa mizimu usioijua.
 
Mkuu mm natofautiana na wewe kidogo...! Mwanamke akiwa na elimu na ameelimika,nadra Sana kukuta anaamini ushirikina,hata Kama hajui kupika elimu yake itamrahisishia kujua Tena atakupikia vitu mbalimbali,

Tena ni nadra Sana kukuta mwanamke msomi Ni Malaya ,na ikitokea hata huo umalaya unakuwa wa kisomi...

Asikuambie mtu kwanza hayo makabila Ni miongoni mwa makabila yenye wanawake warembo kweli kweli..na Koo zenye nguvu

Lakini kutokana na muingiliano wa watu haimaniishi watu wote wa kabila fulani wana tabia fulani

Amini kwamba mwanamke yoyote akikupenda atakutumikia kwa lolote,Ni sisi wanaume kusimamia majukumu yetu ya kiuanaume na misimamo ya kiume km kiongozi wa boma lako
 
Hayo mawazo ya wazee wa kale wasiojitambua, kutokana na ufinyu wa akili zao wakoloni waliweza kubadilishana nao almasi kwa vioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…