Wazazi wenye watoto wa kike, tuna cha kujifunza kwenye matukio ya binti wa SAUT-Mwanza na binti wa Buza?

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno.

2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa kike,kwa maana tayari ni watu wazima,je tuna chochote cha kujifunza?,waswahili wana msemo wao:- "mshahara wa dhambi ni mauti",pia wazungu wana msemo wao unaosema "you can't solve the problem with the same level of intelligence used to creates them", wakimaanisha hatuwezi kuzuia machinga na boda boda wawepo kwa kuwafukuza,itawezekana kwa kutengeneza ajira mbadala na kuongeza vyombo bora vya usafiri, hatuwezi kuzuia wanawake kujiuza kwa kubomoa madanguro yao,tunaweza hivi Kwa kua na malezi bora ya watoto wetu wa kike na kiume na kuwalea kwa maadili. Je, kuwakamata walioawaingilia kinyume na maumbile binti wa Buza na wa SAUT Mwanza hio ndio "solution" yake?

3. Ukisoma Aya ya 2 utaona hii sio suruhisho,sababu hata yule binti wa Mwanza alifanya makosa Kwa kua mdangaji,na kwenda kujipeleka kwa mkuu wa mkoa kujiuza,tayari hilo ni kosa ambalo pengine lingetatuliwa mapema asingeweza kuingiliwa kinyume na maumbile,...huyu wa Buza amekili kutembea na mume wa mwanajeshi kwenye kile kipande Cha video,hatuna uhakika kama ameshurutishwa,lakini kwa kua tunaamini video ile sio maigizo,basi hata yaliyomo ni ya kweli....SIKATAI na naunga mkono afande aliyemtuma akamatwe na waliohusika wakamatwe na wafungwe,lakini je sisi kama wazazi wenye watoto wa kike tunatatuaje tatizo la mabinti kutongozwa na kukubali bila kujua "status" na mwelekeo wa mwanaume husika(akiwa mume wa mtu,etc),je tuna uhakika wale mabinti wote(wa SAUT-MWANZA na wa BUZA),na wa namna hii HAWAJIUZI?,tutakua sahihi kutozuia sababu za kujiuza na kukifanya sisi welevu kuzuia madhara yatokanayo na kujiuza?

4. Hawa ni watoto zetu,mabinti zetu,ndio ambao hata sisi tunawatongoza na pengine tushashuhudia wakijisifu kula nauli zetu,kudhulumu mali za wanaume,ama kufuja mali za wanaume,.....vitu ambavyo vyote ni kosa kisheria za Dunia hata za Mungu,je siku yakiwakuta hatuwezi sema ni "KARMA"hii imewakuta?

5. Kuliko kuendelea kuwatetea wanapopata madhara nadhani nguvu ingewekezwa kubwa mno kwenye masemina na mihadhara kuhusu namna ya kua na maadili mema,nguvu ingewekezwa kwenye kujifunza ujasiliamali mabinti waweze kujitegemea kisaikolojia na kiuchumi.

Sisi kama wazazi tutakua "KITUKO", kwa hata hao mabinti wenyewe kumtetea kwa kuingiliwa kinyume na maumbile sababu tumeona video imevuja ilhali huko chuoni au mtaani, alikua anafanya kila leo na wanaume tofauti, itakua haina mana kutetea binti amedhulumiwa utu wake ilhali huyo Binti yetu alikua kila leo anadhulumu mali na rasilimali za wanaume anazowadangia.

Kwenye hili LAZIMA tuwe "realistic",tuwaache wanaombaka mabinti zetu wachukuliwe Sheria,tena Kali sana,
Lakini na sisi tuweke nguvu mara 1000 mabinti zetu wasiwe wanatumia,kuiba ama kufuja mali za wanaume wenzetu walizozihangaikia!, Kisha tuone matokeo yatakuaje

- Mshahara wa dhambi ni mauti.
- Haiwezo tatua tatizo kwa sababi ile ile iliofanya ila tatizo liwepo
 
Mkuuu sijajuaaaa huyuuu naomba tusimwkngelee

Yule wa mwanza kwa mdaa aliosema mdada yuko na jamaaa miezi kadhaaa alishaanza kamchezoooo

Waombeen wanawenu sio mnawadamp amwon wamama wanavyogalalagala kwa kiboko ya wachawi wale wana mizigoo mizitooo
 
Kiini Cha tatizo ni kubomoka kwa mfumo wa malezi katika jamii
 
Jomba Jomba Jomba

Hawa mabinti ni kama wana laana ya asili vile! Hawa hata ukae nae chini ufungue darasa kila leo, kuna siku utajiona mpumbavu tu kwa utachokuwa unamfundisha. Wakishakwama ndio wanajifanya kurudi nyuma kutia huruma. Ni washenzi mno jomba
 
Ikija suala la jinai, A victim anakuwa excused na tabia zake zote mbaya, haki yake inapiganiwa kwanza.

Mbona jamii kila leo inahubiri maadili, unataka nini kingine kifanyike?
 
SOMA TU HIZI VERSE UKIAMKA MUNGU ANAWALINDA
 
Attachments

  • Screenshot_20240806-173545_Lite.jpg
    Screenshot_20240806-173545_Lite.jpg
    530.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240806-173540_Lite.jpg
    Screenshot_20240806-173540_Lite.jpg
    519.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240806-173535_Lite.jpg
    Screenshot_20240806-173535_Lite.jpg
    515.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20240806-173531_Lite.jpg
    Screenshot_20240806-173531_Lite.jpg
    515.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240806-173527_Lite.jpg
    Screenshot_20240806-173527_Lite.jpg
    506 KB · Views: 14
"Akikua ataacha" Neno hili limepoteza vijana wa kiume/kike, mzazi fanya wajibu wako kwa malezi ya watoto wako.

🦅 GirlTalk
 
Bila maombi hata uwe na wa kiu.e.mkuuu

Kuna watoto wazazi waooo awataki kuaasikia wako usa na walitumiwa mapicha ya ushogq ya watotowao

Prayers wks hata dk 5 tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom