Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Ndo kitu napitia kwenye ndoa, Mume hajawahi kupata malezi ya mama....wazazi waliachana akalelewa na mama wa kambo kuanzia 4years old....nyieee balaa lake ni kubwa...ila Alhamdulillah nimepona, nimemjulia.
Je yeye vipi amoena aliposhikwa traumatically? Au ni wewe tu ndo una mhandle?
 
Pole kwa changamoto kipenzi,ila hakikisha na yeye anapona. Hiyo itakupunguzia mzigo wa kihisia unaobeba kwa Sasa. Kuwa mke na mama tu ni shughuli pevu, kuongezea mzigo mwingine sio poa. Pia akipona itasaidia asije kupeleka maumivu kwa watoto bila kujua.
Kweli kabisa isi ishie yeye tu kujua bali mumewe na afnanyie kazi mpaka apone isije kuwa kazi bure
 
Umenikumbusha siku nimetembelea kituo cha kulelea watoto yatima, nilipata hisia kali sana kiasi kwa sasa kutembelea kituo cha watoto yatima siwezi. Niliwaangalia wale watoto halafu nikajiuliza, kwahiyo hawa ndo hawana wazazi ,babu, bibi, mjomba ,shangazi, mamdogo ?. Mimi binafsi nilikuwa napendwa sana na wajomba, bamdogo zangu pamoja na babu yangu ingawa walikuwa mbali na sisi. Nikajiuliza ina maana hawa sio tu kwamba hawajui upendo wa wazazi upoje, hata upendo wa bibi ,abu na wajomba au bamdogo hawaujui?. Wale watoto ndo wana trauma ya viwango visivyomithilika.
Mbaya zaidi kuna watoto walinambia wamepelekwa kituoni hapo na wazazi wao wa kuwazaaaa😭😭😭
Hali halisi hiyo ndio maana mimi sio shabiki wa Mawaidha potovu,siwezi kuhukumu sababu kila mtu Ana story amepitia na kushape tabia yake,so kuliko kuhukumu,kuhubiri negativity ku point finger ni vyema kujifunza na kuambukizana Positivity na kupeana moyo for the good cause..

Kuna kitabu nimesoma kinaitwa SMALL FRY kimeandikwa na Lisa mtoto wa Steve Jobs,.
Anaeleza kwa nini Steve Jobs pamoja na kua multi bilionea lakini alikua hampendi binti yake waziwazi,computer ya kwanza ya Apple iliitwa Lisa after her name,.you know why nimesoma hicho kitabu?sababu nilimchukia sana Steve Job alivyokua anamtendea binti yake katika documentary JOBS..

Kumbe Steve Jobs katika umri mdogo kabisa alikua adopted hakuwahi kujua his biological parents,Hali hiyo imemfanya(anaongea doctor wa Steve Jobs) awe na deep seated fear of abandonment and rejection..kwahiyo Steve hajawahi kumpenda mtu angalia movie yake ndio utajua jamaa kiasi gani alikua EVIL

Na tatizo hilo linawapata watoto ambao wanakulia vituo vya yatima or adopted..
 
That's another mistake y'all...
Kwa nini mnapenda ku judge watu..

I know myself, better. Jaden is my favorite artist.. Am a big fan that's all.
Nimekwambia ni ombi siyo lazima
Kwanini usingeniuliza kwanini nimekuomba hivyo?

Hujaacha kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe?
Naomba tuishie hapa !
Usiendeleze hili please tubaki kwenye mada🙏
 
Uza hata TV kama unayo nyumbani mtoto aende tour, hata suruali yako uza😂😂😂.
Huko ni kupitiliza tu.. Maana kuna time inabidi mwanao ajue financial status yenu.. Inasaidia Sana,

japo ataumia ila atawaelewa
 
Nimekwambia ni ombi siyo lazima
Kwanini usingeniuliza kwanini nimekuomba hivyo?

Hujaacha kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe?
Naomba tuishie hapa !
Usiendeleze hili please tubaki kwenye mada🙏
That's being judgemental

Kwanini hukuniuliza hata privately, kwa nini nimeweka hiyo avatar.. Ukaja publicly tena in a way watu wajue nimefanya kitu kibaya?

That's a chain we were talking about being triggered.. Na huu ndo ukweli.. People attack what they don't understand.

Kwa hili lazima niwe muwazi tu, sio kupwpesha macho na kuongea kwa hulka
 
Hizi ndo nyuzi za kujenga sasa...
Sio za ollie kafanan na baba yake lakini ni wa mama ake....😆😆😆😅
 
Hizi ndo nyuzi za kujenga sasa...
Sio za ollie kafanan na baba yake lakini ni wa mama ake....😆😆😆😅
Binafsi Nashukuru sana uitikio umekuwa mzuri, maana watu huwa hawapendi kuambiwa ukweli.
 
Hali halisi hiyo ndio maana mimi sio shabiki wa Mawaidha potovu,siwezi kuhukumu sababu kila mtu Ana story amepitia na kushape tabia yake,so kuliko kuhukumu,kuhubiri negativity ku point finger ni vyema kujifunza na kuambukizana Positivity na kupeana moyo for the good cause..

Kuna kitabu nimesoma kinaitwa SMALL FRY kimeandikwa na Lisa mtoto wa Steve Jobs,.
Anaeleza kwa nini Steve Jobs pamoja na kua multi bilionea lakini alikua hampendi binti yake waziwazi,computer ya kwanza ya Apple iliitwa Lisa after her name,.you know why nimesoma hicho kitabu?sababu nilimchukia sana Steve Job alivyokua anamtendea binti yake katika documentary JOBS..

Kumbe Steve Jobs katika umri mdogo kabisa alikua adopted hakuwahi kujua his biological parents,Hali hiyo imemfanya(anaongea doctor wa Steve Jobs) awe na deep seated fear of abandonment and rejection..kwahiyo Steve hajawahi kumpenda mtu angalia movie yake ndio utajua jamaa kiasi gani alikua EVIL

Na tatizo hilo linawapata watoto ambao wanakulia vituo vya yatima or adopted..
Siku nimesikia Steve Jobs ni mwarabu kutoka Syria nilishangaa, kumbe alikuwa adopted.
 
Wazazi wako busy sana.
Maisha yanawapeleka kasi sana.
Ajira zinawatenganisha.
Mmoja Nachingwea Mwingine Njombe.
Gharama za maisha zinapanda Kila siku.

Usaliti

Baba Yuko busy na michepuko
Mama Yuko busy anapambana na michepuko ya mume wake.

Talaka.

Nani anawakumbuka hao watoto?
Wazazi wanakutana nao uzeeni tu.
Na kuanza kuwafahamu vizuri watoto wao.

Nani alaumiwe?
Wewe ndio ulaumiwe
 
Binafsi Nashukuru sana uitikio umekuwa mzuri, maana watu huwa hawapendi kuambiwa ukweli.
Kama mzazi najifunza sanaaa kupitia haya mambo...nina vijana napata picha na mwanga wa jinsi naweza kuwapa aina fulani ya malezi kwao...japo sio asilimia mia kucopy but kuna some information tunazipata na zinajenga sana
 
Back
Top Bottom