ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
HakikaKitendo cha huo upande dhaifu kutaka kuunganisha nguvu ni dalili ya tatizo la kisaikolojia ambalo lisipotatuliwa vizazi vijavyo vinarithishwa maumivu tunayoyaongelea hapa. Wazazi wapone ili madhara yasiende kizazi kinachofuata.
Kuna mito ya pombe kweliHatimae tumempata alokwenda kuzimu na kurudi. Hebu tupe feedback.
Ni huzuni.Na ukizaa ukashindwa ku Lea wanakwambia unaona mtoto amekuwa kama wewe.
Daaahh ila wamatumbi bwana
Aaaah basi tena! Wewe ulipiga vimorali ukazima, ukahisi umekufa.Kuna mito ya pombe kweli
Vimorali ni vipi tena😆Aaaah basi tena! Wewe ulipiga vimorali ukazima, ukahisi umekufa.
Ndugu yake banana🤣Vimorali ni vipi tena😆
Duh ,yaleo kali😅 vimorali😅 inaonekana vina kabia kwa juu sana😅Ndugu yake banana🤣
Indeed umaskini nao ni moja ya contributer mzuri sana kuharibu vizazi.Guarantee watoto wasipopata upendo wataharibika, ila umaskini unaweza kuwapoteza kabla hawajaharibika 😁😂
Mmmh, watoto wa kiume wanahitaji emotional support kuliko tudhaniavyo,yaani kuna namna wanalelewa kama wametelekezwa hakuna anayejali, mtoto ana jambo linamuumiza afe nalo atajua mwenyewe. Sisi wa kike angalau mashuleni tuna viutamaduni vyetu utasikia mama wa shule,mama wa darasa etc, hao wanakuwa wanafuatilia maendeleo yenu ya kimasomo na nje ya masomo kwahiyo hata ukiwa na tatizo una mtu wa kumwambia. Bado darasani mnagawiana partners wa kusoma kwahiyo ukiwa na changamoto inayokwamisha maendeleo yako ya kimasomo partner wako lazima agundue. Sasahivi ndo naona faida ya hayo yote, hiyo ilikuwa social support system nzuri sana kwa wanafunzi. Sasa huko kiumeni sijui mnaishi kama mpo mbugani jamanii😂😂😂 kama wanakubully hadi inaathiri masomo yako na huna pa kusemea dahh,hatariii.Hakika and am one among them..
Zamani nilidhani kuongelea maumivu inaonesha unyonge... Hasa hasa wakisha jua kuwa nilimfanyia hivi au vile
Ni sawa na kujivua nguo... Unaogopa wata ku bully.. Na shuleni ndo hasaaa watu tulikuwa tunakaa na maumivu hata tusielewe darasani
My school life did go to waste kabisa.. I am who I am by reparenting and educating myself.
Si ndio ukajikuta kuzimu sasa 🤣Duh ,yaleo kali😅 vimorali😅 inaonekana vina kabia kwa juu sana😅
Yalah yalah😄Si ndio ukajikuta kuzimu sasa 🤣
Huyu kupona ni kwa neema ya Mungu, kwa niliyoyapitia kwenye ndoa kwa sasa my focus ni Mimi kupona na kumchukulia kama alivyo...kikubwa nimeweka strong boundaries kwa ajili ya kujilinda Mimi na watoto.Pole kwa changamoto kipenzi,ila hakikisha na yeye anapona. Hiyo itakupunguzia mzigo wa kihisia unaobeba kwa Sasa. Kuwa mke na mama tu ni shughuli pevu, kuongezea mzigo mwingine sio poa. Pia akipona itasaidia asije kupeleka maumivu kwa watoto bila kujua.
Yeye nimemuacha afunzwe na consequences za matendo yake.Je yeye vipi amoena aliposhikwa traumatically? Au ni wewe tu ndo una mhandle?
Mkuu,kupona ni neema ya Mungu nakubali lakini lazima jitihada zifanyike. Hata wewe ukiumwa lazima utaenda hospital huku ukitegemea neema ya Mungu ya uponyaji ikushukie upone. Kauli za " namchukulia kama alivyo" ni kukubali kubeba maumivu ambayo hautakiwi kuyabeba.Huyu kupona ni kwa neema ya Mungu, kwa niliyoyapitia kwenye ndoa kwa sasa my focus ni Mimi kupona na kumchukulia kama alivyo...kikubwa nimeweka strong boundaries kwa ajili ya kujilinda Mimi na watoto.
Imagine mtu aliyezaliwa na Baba aliyelelewa na mama wa kambo, yeye pia akalelewa na mama wa kambo......hadi kufikia miaka yote hii ya ndoa najiona shujaa as nimekata Hiyo generational curse ya watoto kulelewa na wazazi wa kambo au bila malezi ya mzazi mmoja katika umri mdogo, though I did a very hardwork jamani.
Mkuu kwanza pongezi kwa kuwa mkweli na kusema mapito yako hapa..Kwa kipindi kirefu cha utoto nililelewa na shangazi yangu, tulilelewa vizuri alihakikisha tunakula na kwenda shule na kupata mahitaji muhimu
Changamoto ilikuja pale ambapo nilikua nikifanya makosa nilikua napigwa sana kupitiliza, nilikua napigwa fimbo za kila kona ya mwili isipokua kichwani ndio kulikua kunasalimika
Pia kugombezwa na kufinywa ilikua sana kwa makosa ambayo ni ya kitoto tu maana sikuwa hata mdokozi,
Kutokana na vile vipigo nimekua nikimuogopa sana kiasi kwamba ilipofika wakati natoka pale nyumbani nilipata ahueni
Changamoto ipo sasa hivi ukubwani hata nikiona simu yake inaita moyo unastuka japokua hakuna jambo lolote
Hii imepelekea hata mimi kupiga simu pale nyumbani iwe ni jambo zito kwa sababu ya ile hofu ambayo ilijengwa nikiwa mtoto na hili nimeligundua recently
Sasa wanalalamika sipigi simu home na mimi moyo ukitaka kunyanyua simu kupiga kiukweli nakua na hofu
Elevenn lost files
For sure trauma live in bloodlines too... Epigenetics hiyooMaumivu sio tu tunakufa nayo, tunarithisha vizazi vyetu vijavyo. Mfano mzuri ni Black Americans, wale watu wanapambana sana na maumivu waliyorithi kutoka kwa mababu zao walioteswa toka enzi za utumwa. Ndio maana unakuta mambo yote mabaya sijui madawa ya kulevya, magenge ya uhalifu ni wao wanaongoza. Na sisi tunaishia kusema mablack wanazingua mara wanawachukia waafrika waliohamia kule, lakini tujiulize wamebeba maumivu kiasi gani toka enzi na enzi mababu zao wanatumikishwa kama watumwa? Hebu jiulize wewe ungejua baba ake na babu yako alikuwa mtumwa ungejiskiaje?