Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Asante sana pia kwa post nzuri, inatia moyo na kufundisha pia namna ya kuishi
 
Daah aisee unaona sasa mkuu

Nothing bearmts family love, yaani vyote alivyo vipata huko haviku mpa satisfaction ya upendo aliokosa alikozaliwa

Aisee hii scenario ni nzuri sana kwa mfano
 
Pole sana you are soo strong
Wanawake wengi huchukua option ya kukimbia
 
I'll have to check on those too.. Thanks mkuu
 
Hakika it's part of the game...control
 
Mimi nimemwelewa sana anaangalia future ya watoto wake ndo maana ana tolerance.
Mumewe hana dalili za kubadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…