Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Ni kweli kabisa na mwisho wa siku huwezi kulaumu sababu hata wao wamekulia kwenye malezi kama hayo,Sio walimu tu,now kama una mtoto au upo karibu na mtoto na unampenda unaweza kugundua kwa kiasi gani tumekua abused as kids na wazazi,.kupigwa,kufokewa na mambo kama hayo..
Just reflect how you want to treat mtoto wako na how you was treated as a kid utaona gape kubwa sana wazazi wetu walimiss vitu vingi,.
Yes na hawakua exposed na elimu kama tunayopeana hapa,kingine boomers wengi hawakupata fursa ya kwenda shule au kupata fursa ya kushirikiana na jamii za watu wengine na kujifunza...Ni kweli kabisa na mwisho wa siku huwezi kulaumu sababu hata wao wamekulia kwenye malezi kama hayo,
Asante kwa ushauri mzuri sana, bahati nzuri wote tupo dar hapa,kwahiyo huwa tunaonana,yani umepiga mule mule jana tu nilitaka niwafuate niende nao Beach wakafurahi lakini mambo yaliingiliana nimepanga next week inshallahPole kwa kutengana na baby mama wako mkuu, na hongera kwa kuweka nia ya kuwa baba bora kwa wanao.
Usisahau pia kuwaona uso kwa uso kadri utakavyoweza, toka nao out, wanunulie ice cream, cheza nao etc ili wabaki na kumbukumbu nzuri kukuhusu wewe.
Mara nyingi watu hawajui kuwa vinaenda moja kwa moja kwenye subconscious mindWatu Wanachukulia poa Sana vitu vidogo vidogo vinavyowapata watoto, kimsingi vinaanza kama cheche, pindi akizidi kuwa mkubwa navyo vinakuwa na kumuathiri vibaya Sana na kuacha sio rahisi maana ametoka navyo utotoni kabisa...Mfano wale waliokuwa affected na video za ngono,ugomvi wa wazazi, ukatili wa kijinsia nk hawa watu wa Aina hii wakikua vile walivyopitia vitaathiri ukuaji wao maana hisia zao ziliguswa.
π’π’ aiseeSio sawa kabisa, nilishapigwa fimbo zaidi ya ishirini matakoni, matako yalivimba yakawa kama ukuni nilikua nakaa upande kwenye kiti kwa wiki mbili, worse enough sikuwa na wa kumwambia sio walimu wengine hata wazazi nyumbani
NAKUPONGEZA SANA MKUU.na iwe hivyo.Asante kwa ushauri mzuri sana, bahati nzuri wote tupo dar hapa,kwahiyo huwa tunaonana,yani umepiga mule mule jana tu nilitaka niwafuate niende nao Beach wakafurahi lakini mambo yaliingiliana nimepanga next week inshallah
Kuna ishu my son kaniambia wanasafari ya Shule kwenda Ngorongoro tour,ingawa nimepata taarifa in short notice na inahitaji hela nyingi kidogo,lakini napambana aende ili awe na kumbukumbu nzuri zaidi,kwamba baba yake nimefanikisha safari yake ambayo itakuwa kumbukumbu nzuri kwake
[emoji23][emoji23][emoji23]Akili zako unaijua mwenyewe tuu
Ndiyo, hivyo maumivu moyoni tutakufa nayo ingawa wanasema samehe u heal ila ni kazi ngumu sana kuliko kuongeaYes na hawakua exposed na elimu kama tunayopeana hapa,kingine boomers wengi hawakupata fursa ya kwenda shule au kupata fursa ya kushirikiana na jamii za watu wengine na kujifunza...
Umesahau wanatafuta watoto ili kuridhisha jamii, kuwa wao sio wagumba na Tasa.Aiseeeh umeandika kitu kikubwa na cha umuhimu sana haswa katika jamii hii iliyochanganyikiwa.
Ugomvi wangu mkubwa kwa wazazi ni kwa kuwa wabinafsi wakubwa ambao wanawahitaji au kuwapata watoto si kwasababu wako tayari kulea na kuwa wazazi, bali kwasababu tu selfish kama za kujiridhisha kingono, kupata nafuu ya kimaisha, kupata wa kuwalea uzeeni nk.
Lakini sasa, wahanga wakubwa wanakuwa watoto na matokeo yake tunaanza kuwalaumu hao hao watoto tulioshindwa kuwalea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mzee wangu alikuwa nayo pesa ya kulipa, ila kuwaumiza tuu, yeye alikuwa ana kufanya ujue ile hela akipata kwa jasho hata kama ni uongo tu maana ni kazi za ofisi..Asante kwa ushauri mzuri sana, bahati nzuri wote tupo dar hapa,kwahiyo huwa tunaonana,yani umepiga mule mule jana tu nilitaka niwafuate niende nao Beach wakafurahi lakini mambo yaliingiliana nimepanga next week inshallah
Kuna ishu my son kaniambia wanasafari ya Shule kwenda Ngorongoro tour,ingawa nimepata taarifa in short notice na inahitaji hela nyingi kidogo,lakini napambana aende ili awe na kumbukumbu nzuri zaidi,kwamba baba yake nimefanikisha safari yake ambayo itakuwa kumbukumbu nzuri kwake
Sio poaπ’π’ aisee
PoleeSio poa
Toto tundu nimekuwekea maoni maana huchelewi kusema sijaitika ππMzee wangu alikuwa nayo pesa ya kulipa, ila kuwaumiza tuu, yeye alikuwa ana kufanya ujue ile hela akipata kwa jasho hata kama ni uongo tu maana ni kazi za ofisi..
Alikuwa anakupa hela ya tour hesabu zimeshafanywa.. Ile siku kesho ndo wanaenda wewe ndo unaenda kulipa.. Ilikuwa tabu sana
Trauma huwa fanya watu kufanya vitu vya ajabu sana na wakaona wako right kwa namna yaoshida watoto wadogo wana emotional intelligence kubwaa mno, kitu ambacho wazazi wengi wana kasumba ya kupuuza wakizani ya kwamba watoto ni kama wajinga au kufikiri watoto hawajitambui... kosa kubwa
sana hivi vitoto hata vichanga vina uwezo mkubwa sana
watalaam wanakuambia mtoto anazaliwa wakati ubongo wake una cell nyingi zaidi ya mtu mzima kadiri anavyokuwa ndivyo anavyozipunguza
kama mzani atadhuru mtoto, hii inakuwa jeraha kubwa mno ukizingatia mzazi ni primary caregiver na mtoto anaamini hivyo sasa kama wakumtegemea kamdhulu je ambao sio wa kutegemea.
kuna jamaa mmoja mbabe saana lakini alikuwa addict wa Cocaine, anakuambia akitumia cocaine ilikuwa ina mletea amani sana feeling kama vile mama yake amemkumbatia. yeye hakuwahi kuishi na mama yake. it so Sad
Maumivu sio tu tunakufa nayo, tunarithisha vizazi vyetu vijavyo. Mfano mzuri ni Black Americans, wale watu wanapambana sana na maumivu waliyorithi kutoka kwa mababu zao walioteswa toka enzi za utumwa. Ndio maana unakuta mambo yote mabaya sijui madawa ya kulevya, magenge ya uhalifu ni wao wanaongoza. Na sisi tunaishia kusema mablack wanazingua mara wanawachukia waafrika waliohamia kule, lakini tujiulize wamebeba maumivu kiasi gani toka enzi na enzi mababu zao wanatumikishwa kama watumwa? Hebu jiulize wewe ungejua baba ake na babu yako alikuwa mtumwa ungejiskiaje?Ndiyo, hivyo maumivu moyoni tutakufa nayo ingawa wanasema samehe u heal ila ni kazi ngumu sana kuliko kuongea
Pole mkuu, umeumizwa haswaa.Mzee wangu alikuwa nayo pesa ya kulipa, ila kuwaumiza tuu, yeye alikuwa ana kufanya ujue ile hela akipata kwa jasho hata kama ni uongo tu maana ni kazi za ofisi..
Alikuwa anakupa hela ya tour hesabu zimeshafanywa.. Ile siku kesho ndo wanaenda wewe ndo unaenda kulipa.. Ilikuwa tabu sana