Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kama ni kweli,wanapotosha sana.Wakaendelee tu kuchimba madoo/viazi huko Iguguno na Kititimo wastawishe uchumi wao.Hapo Utemini hapawafai.Wataishia kupigwa na upepo mkali kwenye nyuso zao wapauke tu.Wazee wa pale kwenye kijiwe cha Kahawa karibu na ofisi ya Ccm pale karibu na soko kuu la Singida π€£π ππ
sasa mbona kubabaika kwingi,Mtu akishaweza kugundua stori za kutunga ina maana ana uwezo mkubwa wa kukutungia nyingine na ukaamini ni za ukweli.
Kulazimisha stori za kutunga ziaminike kwa watu wazima ndiyo afya mbovu ya akili sasa.sasa mbona kubabaika kwingi,
na kama mtu anahisi ni uongo hali ya kua ni tetesi,
ni vizuri akaelekea moja kwa moja mental health clinics badala ya kazini, kwasabb anaweza kuleta taharuki mno kwenye maofisi ya watu ufahamu na uelewa wake unaweza kua umejam...
hata na hivyo,
hii ni siasa, watch very closely and keenly what I have explained shortly and clearly utajua hujui, tena sio muda mrefu sana π
Vile tu unavyotetea uzi wako unaonesha kuna uwalakini kumutwe yako.unalazishwa na nani, acha ushirikina muamini Mungu pekee tafadhali π
Kwani umeacha uvaaji huo?Hata fisi huko Sisyemu mnawachezesha ngoma ya mbina.washirikina ndivyo mnavyovaa right?π
Mbona unamwogopa sana Tundu Lissu?washirikina ndivyo mnavyovaa right?π
Inategemea neno data linatumikaje kwa muda husika.unapinga au unakataa kwa data za matukio na mienendo ya kisiasa ya muhusika π€£