Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Daahhh nmecheka sanaa ila syo mazuri,,
Mitungiii jamniii Mitungiiiiiiii mitungiiiii daahh

Sikia mkuu kikubwa anza kufanya kitu kinaitwa "PAY YOURSELF FIRST" Kila unapopata mshahara wako hyo ela unayojilipa hakikisha unaisave au kuinvest sehemu salama(walau 30% of your salary) then hyo nyngne hata ukipiga mitungiiiiiiii haina shda ila baada ya miaka 10 or 5 utakua sehemu salama
 


Hata hapa umeandika ukiwa umelewa, kumbe unajua hela inaenda kwenye pombe alafu unatafuta sbb kwanini hela inaisha? Huu ni ulevi umezidi, maana sbb ipo wazi ila huoni, huo ni ulevi mbaya sana, unateketea ukijiona
 
Hii kanuni nimeielewa imekaa fresh sana
 
Sasa ndiyo nimeamini sipo pekeyangu, mwanzo nilidhani labda kuna shida mahali kumbe sivyo. Kumbe tupo wengi wenye hii shida 😂😂

Kaka hakuna mchawi hapo, kama yupo basi hata mimi kanipata?
Ni noma sana mzee yani unakuwa kama umepigwa kiini macho hivi akili inakuja kakaa sawa balance inatia huruma mbaya mbovu.
 
Ukipata pesa mingi unakuta matumizi yamebadilika na kuwa makubwa sana na akili ya mtu mwingine kabisa, zinapokaribia kuisha akili inarudi pahala pake na unaanza kuishi kwa uhalisia unakuta hadi 10k unaitumia kwa siku.

Mambo ya bea haya.
 
Pombe sio shida.

Shida ni unainywea wapi? Na nani?

Mie nikienda club basi kuna mpira naenda kuchek au naham na mziki siku hiyo na naenda na hela fixed kbs.

Shida inakuja ni moja.

Umalaya na ndio ki2 hujakitaja hapo ila mara nyingi pombe na umalaya ni pipa na mfuniko.
 
Kama wewe ni hedonistic person- MTU unayeshindana na mwili ndo upate Furaha , hapo sio rahisi kubaki na PESA mkuu.

Mpaka uchukue hatua za kimakusudi kujikomboa maana hakuna wa kukukomboa .
"MTU UNAYESHINDANA NA MWILI ILI UPATE FURAHA" ivue nguo hii sentesi ili vipofu tupate kuuona uchi wake
 
Hamna mtu amekucheza huna descpline
 
Mkuu acha uoga wa maisha hela yako utapata Tena ila hela sio ya kutatua matatizo peke yake usiipe hela changamoto.. Hela nyingine ni kwa ajili ya kujipa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…