Yeye ndio mbaya kichwa chake kama nazi mbovu, apo mbna simpo & clear mzee.....wengine tunashinda na timz, buti wiki nzima afu wkendi untaka nvae ile midude tena aaahh....sleepers tu mguu upunge upepooNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
nakupinga kaka, Kuna watu hawana mzuka wa mavazi au viatu kivile.Wanasema ukitaka kujua ukubwa/heshima/uzito/uwrzo wa mtu angaliaviatu vyake
Tupe location ya hicho kitabu mkuuSidhani kama nimewahi kusoma kitabu kizuri zaidi ya Kile che Giussepe Note's
AAah popote tu ila sio kwny mibaaaπMzee Mwenzangu Hapo Umejichanganya Hizo Tunatumia Maeneo Ya Nyumbani Tu Kupata Upepo
Kumbe Kuna masharti ya namna hiyo?, mimi hiyo ni mood tu as long naona iko good I rock it.Slippers rangi 2 si utaambiwa masharti ya mganga?
πππWatu kama nyie ndo wakutekwa, kiatu gani hicho umevaaa?
Ume potea kakaMzee Mwenzangu Hapo Umejichanganya Hizo Tunatumia Maeneo Ya Nyumbani Tu Kupata Upepo
Google chrome, au online pdfSijawahi kukisoma naweza kupata vipi nakala yake mkuu!?
we Jamaa una mambo ya kingese ka Mbaga Jr na Vishu Mtata ππSingle Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye Biasharaππ
Moyo wangu umeguswa sana Mkuu.we Jamaa una mambo ya kingese ka Mbaga Jr na Vishu Mtata ππ
Live your life wapo wanaopend that lookNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Bado unaenda(ga) bank? Bank za wapi hizo wakati unatoa hela watu wanakuangalia then ukimaliza wanaanza kujichekesha?Wewe ndio una shida bro, hapo ange mind issue zake huku ana spend ki aina mbona isinge kuwa jau.
Sometimes huwa naenda bank na slippers za rangi tofauti, watu wana kutolea mimacho ila uki withdrawal wana anza kuji chekesha,ππ
Jamaa kavaa Surual nzuri, tishert nzuri ila kiatu kaamua kuchekesha watuπππ