Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Hizo cargo pants ni mapigo yangu ,jens zijavaa inaweka kufika hata mwaka 4..
 
Work on your self esteem mzee, alivyokuona sio shida zako.
 
Uko poa tu huyo dada ni nyodo zake au katokea mkoani, maana ndo mambo yao hayo kushangaana uvaaji, kwanza mi napenda sana hivyo viatu kwa daslam vyepesi na miguu inapumua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…