Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

hongera mkuu,hii kesi Lulu ajiandae tu,hakuna namna hapo,kuna makosa mengi mno ya kiufundi wameyafanya hao akina lulu na mawakili wao
 
Hivi nn maana ya kuwa na "wakili nguli" kama huyo wakati mteja wako anahaha kujitetea mwenyewe mahakamani? Mtoto wa watu maskini hajui hata aseme nini
Kazi ya Wakili ni kumsaidia Jato.. Austin Hakimu kutafsiri Sheria ili Haki itendeke
so Wakili hana uamuzi wa Mwisho hata Kama atapambana vipi
Ila kesi Kama hizi wengi wanatokeaga kwenye Rufaa lkn JELA lazima uende
 
huyo mshumbusi mwenyewe hana tofauti na Maji marefu.ni mganga wa kienyeji..nimeshangaa sana imekuwaje Ushahidi wa hovyo vile ukapokelewa
Sielewi ni kwa nini Kibatala aliamua kuipeleka hivyo hii kesi!
 
Hapa ndipo kesi ilipo
 

Report ya uchunguzi wa mwili wa Marehemu ilisema amekufa kwasababu ya Brain Concussion.
 

Si mwanansheria mimi,lakini kwa uelewa wangu mdogo, Familia ya Kanumba haiwezi kufanya chochote ,hapa ni Jamuhuri ndio mlalamikaji na siyo familia ya Marehemu.Wanasheria wataliweka hili vizuri zaidi
 
Ukweli alijichanganya Sana! Kama ni Jela ataenda kutokana na utetezi dhaifu
 
Yani we umewaza km nilichokiwaza mm.hakukua na haja ya kuanza kubumba ushahid,watu walikuwa wawili tu ndani hivi unashindwa vp kushinda hii kesi,'kanikimbiza kateleza kadondoka' hayo mengine yatakuja mbele ya safari
Kwanza sababu zilizotolewa na wazee wa mahakama kumtia lulu hatiani kuua bila kukusudia ni za kipuuz sana .... yani ningekuwa wakili wa lulu hii kesi nashinda asubuhi na mapema naenda kugonga vtu vyangu vikali
 
Nkanini ACHA UONGO WAKO, RUFAA HAIPATIKANI KWA 'DISCRETION' YA JUDGE.

RUFAA NI HAKI YA MTU, JUDGE ANAVYOITAMKA HAKI YA RUFAA NI KWAMBA ANAMKUMBUSHA MUATHIRIKA WA HUKUMU HAKI YAKE NA SYO KWAMBA JUDGE NDYO ANATOA HAKI.

JUDGE HANA UWEZO WA KUMZUIA MTU KUKATA RUFAA.

HAKUNA KOSA/HUKUMU ISYO NA RUFAA ISIPOKUWA TU KAMA HUKUMU ITAKUWA IMEFIKIA KIWANGO CHA MAHAKAMA YA JUU KABISA (KWA TZ NI COURT OF APPEAL)

HATA HVYO, MBADALA WA RUFAA NI 'REVIEW, LAKIN REVIEW SYO HAKI (MPAKA JUDGE ARIDHIE)

KUHUSU BRAIN CONCUSSION, HUTOKEA ENDAPO MTU AMEANGUKIA KISOGO AU KUPGWA KISOGON, NA SYO LAZMA UPGWE KWA NGUVU.

KWA HYO INAWEZEKANA KANUMBA ALIANGUKA MWENYEWE AKAFIKIA KISOGO AU ALIPGWA KISOGONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…