Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Seth alikua chumba cha pili na ametoa ushahid kwamba aliwasikia wanakimbizana na kupigana then akaja kuitwa Kanumba ameanguka!au unamaanisha nini?
good kwa hiyo huyu ndugu Seth sio eye witness,hakuona yaliyokuwa yanafanyika kwenye kile chumba,kuanguka na kufa kwa Kanumba pekee hakumfanyi Lulu kuwa ni killer,ndio maana wenzetu wanaofuta wajibu wa kisheria zile ripoti za kiuchunguzi ndizo zingetoa mwanga nini kilijiri kwenye kile chumba,tatizo la sisi tumeshazoea mihemko,refer ile kesi ya yule mwanariadha wa South Africa aliyempiga risasi mpenzi wake,no eye witness ila ripoti za kiuchunguzi ndizo zilizo pelekea jaji kutoa uamuzi ule,ni vema wewe kama middle class citizen kuona hili na kukazania jeshi letu la polisi liboreshwe ili liendeshwe kitaalamu sio kisiasa kama sasa.
 
Hivi nn maana ya kuwa na "wakili nguli" kama huyo wakati mteja wako anahaha kujitetea mwenyewe mahakamani? Mtoto wa watu maskini hajui hata aseme nini

Wakati mwingine wakili nguli hawezi kukusaidia sana ikiwa wakati wa kutoa maelezo ya tukio polisi hakushiriki, kumbuka Lulu aliwekewa kama mtego kukamatwa na police na sidhani wakati akitoa maelezo yake alikuwepo mwanashria yoyote. Ni vyema angegoma kutoa maelezo yoyote mpaka angekuwepo mwanasheria kwanza.
 
Acha kukurupuka, forensic report ilitolewa. Upande wa kisogo ulijvilia damu kwa ndani na mishipa ilipasuka ya kwenye ubongo. Hayo yalisemwa na daktari wake, sio yule Mushumbuzi. Nyie kila kitu ni kukurupuka tu. Mnakeraaaaaa, aaaaaaaaah.
 
Hapo lazima mahakama imuoeshee ionyeshee kwamba iko kwa mujibu wa sheria.lazima hukumu ikitoka kila mtu hataamini
 
Ripoti ya Dr inaonyesha alikufa kwa concussion na ilitoka kipindi amekufa tu so mtu mwenye sumu na concussion wapi na wapi?
 
Ripoti ya Dr inaonyesha alikufa kwa concussion na ilitoka kipindi amekufa tu so mtu mwenye sumu na concussion wapi na wapi?
Eti dokta wa mitishamba mke wa dr slaa anasema sijui sumu sijui madudu gani
 
sawa,ila wewe inaonekana ungekuwa mmoja wa wazee wale ungemwona Lulu quilty kwa sababu ya kuondoka kwenye crime scene!!sasa wenzetu hapa wangewaleta wataalamu wa saikolojia to evaluate hali ya Lulu ilikuaje baada ya kutokea yale,je ali panic?je alitaka kwenda kujiua?etc etc hizi ndizo ripoti ambazo upande wa mashitaka ulitakiwa kuwa nazo kwenye kesi hii,kwenda coco beach baada ya tukio lile sio kigezo cha kumwona lulu ni muuaji.
 
Narudia tena

Jaji halazimiki kufuata maoni ya accessor's of the court, hao wazee wa baraza ni maoni yao kwa jinsi wanavyoisikiliza kesi lakini Jaji ndiye final say anaangalia sheria na siyo busara kama hao wazee
ni kweli lakini pia wazee wa mahakama ushauri wao huwa unaangaliwa
 
Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
anasamehewa kwa kigezo kipi? kusamehewa ni kutokana na record of good conduct ukiwa jela na sababu zinginezo kama ugonjwa na kadhalika.Sasa atatolewa mapema kwa sababu gani?
 
Hivi alishindwaje kuongea nao kabla?nchi imebadilika eeh!
Ha ha huyu dogo aliponzwa na upeo mdogo wa kuona mbali;alitakiwa amalizane na mama Kanumba na angemfanya shahid upande wake amfagilie jinsi alivyo raiamwema baada ya kufa Kanumba nk ila akampotezea yule mama akadhani utawala utabaki wa Jk tu;Kitendo cha mama Kanumba kuja mahakamani na chenyewe kina influence kwenye hukumu
 
mkuu usimlaumu sana Lulu..sio yeye alipenda kujiingiza huko..ni malezi na mazingira aliyokuwa exposed kwayo katika ule umri mdogo
In short Parental Guidance
 
Refer kwenye kesi za watu ambao walimuweka mtu kibao akaanguka na akafa itakupa jibu, maana yake hakuna jeraha ila katika ugonvi ndio likatoke
 
hapana.Ishu ni ukweli.alipaswa kustick kwenye ukweli.alivyotwist story hivi karibuni alafu kashindwa kuipangilia ndio kutam cost
 
Aliyekuambia Kanumba alikufa kwa kipigo nani? Alikufa kwa kuanguka na kupata concussion.
khaaa..katika mazingira gani? nini kilikuwa kinaendelea kupelekea kuanguka na kupata concussion?? hayo ndio mazingira yanayoongelewa "kuua bila kukusudia""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…