good kwa hiyo huyu ndugu Seth sio eye witness,hakuona yaliyokuwa yanafanyika kwenye kile chumba,kuanguka na kufa kwa Kanumba pekee hakumfanyi Lulu kuwa ni killer,ndio maana wenzetu wanaofuta wajibu wa kisheria zile ripoti za kiuchunguzi ndizo zingetoa mwanga nini kilijiri kwenye kile chumba,tatizo la sisi tumeshazoea mihemko,refer ile kesi ya yule mwanariadha wa South Africa aliyempiga risasi mpenzi wake,no eye witness ila ripoti za kiuchunguzi ndizo zilizo pelekea jaji kutoa uamuzi ule,ni vema wewe kama middle class citizen kuona hili na kukazania jeshi letu la polisi liboreshwe ili liendeshwe kitaalamu sio kisiasa kama sasa.