Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Rejea kwenye penal code au CPA, kuua bila kukusudia inaweza kumgharimu had kifungo cha maisha.
Anyway tusubirie verdict na busara za mahakama na jaji husika
CPA gaihusiki na adhabu,ni mwenendo wa kesi tuu,sema Penal code kifungu 195 na 198.
 
please elezea zaidi sijakuelewa, sorry
Concussion inasababishwa na kujigonga kichwa,Seth na Lulu wamekiri kulikua na kupigana na kusukumana lakini upande wa utetezi walitaka kushawishi kwamba Kanumba alikua na matatizo ya kukosa hewa kwenye ubongo na sumu but Dr professional wa Kanumba ambaye na Lulu alikubali kuwa kumfahamu amekanusha ila wao wameleta ushahid wa mtu asiye Dr na aliyeshindwa kuja kortini kwamba alimpima Kanumba akakuta sumu
 
hao wazee wa baraza hawatozingatiwa na judge kabisa kama alikubali ushahidi wa mke wa DR SLAA
Hivi ni judge ndiye anakubali au kukataa ushahidi ? au ushahidi unapaswa kuwa challenged na upande wa mshitaka>? nielimishe
 
mkuu usimlaumu sana Lulu..sio yeye alipenda kujiingiza huko..ni malezi na mazingira aliyokuwa exposed kwayo katika ule umri mdogo
In short Parental Guidance
Ni kweli,maana Eddy Sultan alibaki na nidham pamoja na umaarufu wake.Lulu alikosa parental guide,akakosa mapenzi ya baba na aliowaamini wakamgeuza kuku wa kuchovya wakampoteza na kuanza kumla.
 
Acha kukurupuka, forensic report ilitolewa. Upande wa kisogo ulijvilia damu kwa ndani na mishipa ilipasuka ya kwenye ubongo. Hayo yalisemwa na daktari wake, sio yule Mushumbuzi. Nyie kila kitu ni kukurupuka tu. Mnakeraaaaaa, aaaaaaaaah.
sasa hiyo ripoti ina m link vipi na Lulu?acha jazba tujadili hoja hapa ,kuumia huko kwa Kanumba wewe umekuhusisha vipi na mtuhumiwa?je kulikuwa na murder weapon(s) kwenye eneo la tukio?vielelezo vya vilivyotokea pale vipo wapi?na self defence ya mtuhumiwa imeifikiria hapa,je history ya marehemu towards mtuhumiwa ilikuwepo mahakamani?please ebu angalia wenzetu wanavyochunguza na kuendesha kesi za namna hii.
 
Nkanini RUFAA (APPEAL) NI HAKI, NA HAKI HAITOLEWI NA MTU, IPO KISHERIA. HVYO KAMA LULU ATAFUNGWA ANAYO HAKI YA KUKATA RUFAA HATA KAMA JAJI HATOSEMA.

RUFAA NI HAKI YAKO POPOTE PALE.

ILA 'JUDICIAL REVIEW' SIYO HAKI.
 
Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Umeota ndoto nzuri lakini misamaha Ile huwa Ina vigezo na haiusishi watu wanaohukumiwa kwa kesi kubwakubwa za jinai,uhujumu uchumi nk,pia huwa zinazingatia watu waliozhatumikia sehem kubwa ya adhabu zao,wagonjwa,wazee nk.
 
A tragedy of epic proportions. Haka kademu kalinishangaza kwa ku-enjoy a luxurious lifestyle well beyond her frugal means kwa pesa za mabwana zake na kujidai mitandaoni kwa kauli kama "umasikini ni dhambi", huku nikidhani kesi yake imefutwa. Aliringa sana wakati alitakiwa aishi maisha outside the public spotlight. Sasa yamemkuta.
 
Kunakitu sijaelewa hapa kisheria, je aliua au alisababisha kifo? mimi najua kuna kuua na kusababisha kifo, mfano unapomchoma mtu kisu kwa kujihami ili asikudhuru, hiyo ni kuu bila kukusudia, lakini unapo jaribu kujitetea ili usidhurike kisha ukamsukuma mtu akaanguka na kujigonga kisha baadae akafa hapo ni kusababisha kifo. Wanataaluma mliobobea hebu nisaidieni hili.

Kuua ni kufanya kitendo cha kutoa mtu uhai, na kitendo hiki hata mtu asipokufa bado unashtakiwa kwa kosa la kutaka kuua ( aijalishi kwa kukusuduia au kutokusudia)

Kusababisha kifo ni kufanya kitendo au jambo ambalo litasababisha mtu kudhurika kisha kufa, kwa hili bahati nzuri mtu asipokufa panakuwa hakuna kosa wala kesi.
Mkuu nenda mahakan hiyo hoja nzuri thana watakuelewa
 
Mkuu toka mwanzo ilikuwa inajulikana kuwa aliua bila kukusudia..hao wazee wametimiza wajibu wao tu!Jaji ndo atatoa maamuzi ya kumwachia,faini au apigwe mvua!kikubwa jaji ataangalia mambo mengi sana...umri,ugonjwa wa kanumba,pombe..nk...ila kwa mawazo yangu mm ..atatemwa au faini!
kesi ya mauaji ina option ya adhabu faini?
 
Huo ushaidi wa Dr wa tiba asilia naona umekataliwa.Kimsingi alitakiwa huyo Dr awepo mwenyewe mahakamani,kisha ajiqualify,aieleze mahakama hiyo taaluma aliipatia wapi na mahakama ione kama ushaidi wake unaweza kuchukuliwa kama expert opinion
 
Concussion inasababishwa na kujigonga kichwa,Seth na Lulu wamekiri kulikua na kupigana na kusukumana lakini upande wa utetezi walitaka kushawishi kwamba Kanumba alikua na matatizo ya kukosa hewa kwenye ubongo na sumu but Dr professional wa Kanumba ambaye na Lulu alikubali kuwa kumfahamu amekanusha ila wao wameleta ushahid wa mtu asiye Dr na aliyeshindwa kuja kortini kwamba alimpima Kanumba akakuta sumu
sasa mkuu kujigonga na kusababisha hii concussion wewe umeihusisha vipi na mtuhumiwa?je kama aliteleza (maana kulikutwa pombe )hii kesi ilitakiwa uchunguzi wa kuhusisha wataaalamu wa fani tofauti,maana ripoti zao zingesaidia mno kutoa mwanga hasa nini kilijiri siku ile.
 
Dah! Mtoto mtam hivi anaenda angukia mikononi mwa Nyapara, shetani awape nini Nyapara.
 
naomba kukumbushwa adhabu ya ditopile ilikuwaje?
 
HAPO KUNA MAMBO MAWILI YANAWEZA KUTOKEA:
1. KAMA MH. JAJI ATAKUBALIANA NA BARAZA LA WAZEE, BASI LULU ATAPEWA HUKUMU KULINGANA NA SHERIA
2. KAMA JAJI ATAONA SYO KWELI ATAACHIWA HURU.

Note:
Jaji anao uhuru wa kukubaliana au kutokubaliana mtizamo wa wazee
Pili, maoni ya baraza yana ushawishi mkubwa japo hayamlazimishi jaji kuyafuata.

Mwisho, tusubiri hukumu.

Kwa maoni yangu kulingana na maelezo ya lulu, ameua bila kukusudia

Ila kwa kuwa hatukuwepo eneo la tukio basi huenda lulu hakuua au aliua kwa kukusudia/kwa kutokusudia.
Haya uliyoyaongea ni Sawa tu na ungekaa kimya maana hamna tofauti[emoji3][emoji3]
 
na hawa wazee wa baraza,please ninaweza kujuzwa wanateuliwa na nani?nini sifa zao?na kwa muda gani wanakuwa kwenye hizi nafasi,was expecting kesi kama hii kusikilizwa na jaji au full bench of judges.binafsi hii kesi imeendeshwa kisiasa zaidi kuliko kisheria hopefull watampa nafasi ya kukata rufaa kama jaji atamwona ni quilty.
Ni wahenga fulani hata haijulikani wanatokeaga wapi
 
Back
Top Bottom