Unaongea hvy kwasababu umeona imetoa goli moja tena n psg ndo amefungwa, Ila mkamaria yeyote hawezi kwenda tofauti na huo mkeka wa hanscana.Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
Hii Dunia popote pale, hakunaga pesa rahisi ya burebure tu.Ndo maana wa china wanakamatwa na billions 6 kwa akil kama hzi
Hapo ametumia hela ya anayowalipisha watu kwenye app yake so hana hasaraMaoni yangu lazima hiyo ametoa itakuwa labda 0.00001 kwa kukisia ya alichonacho
Sio kweli.Hao wenzenu matapeli wanakula na kampuni za betting hapo anapiga PR ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kumtajirisha muhindi
Makampuni wanawapa bonus tu kwa kuwafanyia promosheniHata sativa na Taivina nina wasiwasi nao
Kila kitu kamariRole model wa vijana ila anahamasisha kamari. Sio vizuri.
Kamari ya betting ni tofauti na hizo scam ambazo mnaziongelea.Yeah.
Ni kama wale matapeli wa kwenye stendi za mabasi hasa pale Magufuli Mbezi Luis.
Unakuta kimekaa kikundi cha watu, kinazungusha vikadi, vya bahati nasibu, kumbe wote ni group moja. Mtu akijichanganya akaenda hapo, analiwa mchana kweupe.
Inashangaza nikiskia et mtu hajui chochote, ila ndio hivyo sio mambo yakoKuna ambae haelewi hapa kunaomgelewa nini gonga like tusonge. Huwa sielewi haya mambo nasikia tu mara odds, mara kachoma mkeka na hata hapo juu hiyo attached photo naangalia ni as forfigure ya kispaniola sielewi chochote & am ok.
Mpira kweli ni kamari ya wazi, mpira unapigwa uwanjani.Kamri ya betting ni tofauti na hizo scam ambazo mnaziongelea.
Betting ya mpira sio biko wala tatu mzuka kuwa wahusika wenyewe ndio wanaojua ukweli wa matokeo.
Naweza kusema Betting ya mpira ndio kamari yenye uwazi kuliko kamari nyingine.
Labda hapa useme baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yanahusishwa na tuhuma za ulaghai kama kufuta slips endapo uta win pesa nyingi.
Lakini kusema sijui wakina fulani na fulani wanatumiwa na makampuni kutoa mikeka ili kuwaingiza chaka wengine, sio kweli.
Usichoelewa kwamba hao jamaa hawawek hela zao wenyewe bali kampuni inawapa pesa kuwahadaa wajinga kwa staili hiyo, hzo atakama mkeka ukitik hizo hela hapat na hata akiliwa hizo sio hela zake hana hasaraKamri ya betting ni tofauti na hizo scam ambazo mnaziongelea.
Betting ya mpira sio biko wala tatu mzuka kuwa wahusika wenyewe ndio wanaojua ukweli wa matokeo.
Naweza kusema Betting ya mpira ndio kamari yenye uwazi kuliko kamari nyingine.
Labda hapa useme baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yanahusishwa na tuhuma za ulaghai kama kufuta slips endapo uta win pesa nyingi.
Lakini kusema sijui wakina fulani na fulani wanatumiwa na makampuni kutoa mikeka ili kuwaingiza chaka wengine, sio kweli.
Haipo hivyo sasa.Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
Kamari ni kamari tu. Muendesha kamari lazima ashinde. Wanaajiriwa wataalamu wa sayansi kompyuta, hesabu na akili unde kutengeneza mifumo inayokukandamiza wewe mkamaria na kumfaidisha mwenye kamari.Mpira kweli ni kamari ya wazi, mpira unapigwa uwanjani.
Utapeli ni 👇
Biko
Mbio za mbwa/farasi
Mchezo wa namba
Kindege
Hizo zimeprogramiwa kumpa utajiri mwenye kampuni
Sio kweli.Usichoelewa kwamba hao jamaa hawawek hela zao wenyewe bali kampuni inawapa pesa kuwahadaa wajinga kwa staili hiyo, hzo atakama mkeka ukitik hizo hela hapat na hata akiliwa hizo sio hela zake hana hasara
Kifupi ni PR au hadaa
Aviator ni utapeliMpira kweli ni kamari ya wazi, mpira unapigwa uwanjani.
Utapeli ni 👇
Biko
Mbio za mbwa/farasi
Mchezo wa namba
Kindege
Hizo zimeprogramiwa kumpa utajiri mwenye kampuni
Mkuu mi naona tuna watu wengi sana wana akili za kuvukia barabara.. Sasa hapo PSG amefungwa Hanscana amehusika vipi kulaghai watu... Wakati kiuhalisia Psg hata acheze tena sasa hivi na hao Paris fc bado nitampa tu psg ashinde... Sasa Hanscana amenituma mimi nimpe Psg na amewaambia Psg wafungwe.Kamri ya betting ni tofauti na hizo scam ambazo mnaziongelea.
Betting ya mpira sio biko wala tatu mzuka kuwa wahusika wenyewe ndio wanaojua ukweli wa matokeo.
Naweza kusema Betting ya mpira ndio kamari yenye uwazi kuliko kamari nyingine.
Labda hapa useme baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yanahusishwa na tuhuma za ulaghai kama kufuta slips endapo uta win pesa nyingi.
Lakini kusema sijui wakina fulani na fulani wanatumiwa na makampuni kutoa mikeka ili kuwaingiza chaka wengine, sio kweli.
Wanawavuta ikifika laki 6 unaona mikeka inachana wanaweka trust next time usireview odds... Kumbe wana asilimia zaoHata sativa na Taivina nina wasiwasi nao