Wazee wa Betting mmeona mwenzenu Hanscana ameliwa Milioni 7.5?

Mkuu mi naona tuna watu wengi sana wana akili za kuvukia barabara.. Sasa hapo PSG amefungwa Hanscana amehusika vipi kulaghai watu... Wakati kiuhalisia Psg hata acheze tena sasa hivi na hao Paris fc bado nitampa tu psg ashinde... Sasa Hanscana amenituma mimi nimpe Psg na amewaambia Psg wafungwe.
Uzuri ni kwamba hakulazimishi kuweka hiyo option.

Ukipewa odds bado unakuwa na fursa ya ku edit kuweka option ambayo wewe unaiona inafaa.

Wao wanaweka mawazo yao jinsi wanavyoona haimaanishi kwamba wao walihudhuria kwenye kikao cha match fixing kiasi kwamba wana exactly results.

Mechi zile za FA cup zimechana mikeka ya wengi sana maana vitimu vya championship vimepiga wakubwa wengi pale EPL na Hanscana mwenyewe alisema hizo mechi hawezi kubetia.

Sasa humu nimeona kuna watu wanasema kuwa hizo ni hela za kampuni hawaweki hela zao na hata wakishinda hazitoki.

Sasa najiuliza kama ndio hivyo mwanini asiwe anabetia kila mechi tena odds nyingi kwasababu hana hasara.

Lakini unakuta Hanscana odds zake ni 1.59, tena hizi ni zile option ambazo zina 95% accuracy ya kutoa, hata odds 2 haifiki. Sasa uoga wa nini kwenye hela ya kampuni ambayo haitoki?
 
Mkuu kitu pekee nisichokielewa mimi ni watu kusema Hanscana analaghai watu... Kwa mfano hapo Psg amefungwa then Hanscana amelaghai vipi watu... labda aichukie tu betting lakini sijaona hoja ya msingi.
 
Mkuu mi naona tuna watu wengi sana wana akili za kuvukia barabara.. Sasa hapo PSG amefungwa Hanscana amehusika vipi kulaghai watu... Wakati kiuhalisia Psg hata acheze tena sasa hivi na hao Paris fc bado nitampa tu psg ashinde... Sasa Hanscana amenituma mimi nimpe Psg na amewaambia Psg wafungwe.
Bado uelewi somo endelea maana una ubongo wa sisimiz
 
Kamari ni kamari tu. Muendesha kamari lazima ashinde. Wanaajiriwa wataalamu wa sayansi kompyuta, hesabu na akili unde kutengeneza mifumo inayokukandamiza wewe mkamaria na kumfaidisha mwenye kamari.

Kama wewe sio mbobezi wa sayansi kompyuta, akili unde ama hesabu hutoweza kuchambua hiyo mifumo na kupata upenyo. Na mbaya zaidi kamari zina uraibu.
We mpumbavu akili unde ndio imesababisha al nasrr afungwe jana? Apate red? Michezo kama mpira ni kamari ya wazi sana hamna ubabaishaji
 
Mkuu kitu pekee nisichokielewa mimi ni watu kusema Hanscana analaghai watu... Kwa mfano hapo Psg amefungwa then Hanscana amelaghai vipi watu... labda aichukie tu betting lakini sijaona hoja ya msingi.
Hoja yao ni kwamba kawaingiza watu chaka kwasababu hiyo inayoonekana kama lost sio lost halisi kwasababu hizo ni hela hewa hata angeshinda isingebadilisha kitu.

Yani ni hela pambo ambayo utaishia tu kuiona hapo kwenye account yake ya betting lakini ni hela ambayo hawezi ku withdraw na kuitumia katika matumizi mengine.

Hayo ndio madai yao.
 
We mpumbavu akili unde ndio imesababisha al nasrr afungwe jana? Apate red? Michezo kama mpira ni kamari ya wazi sana hamna ubabaishaji
Alooo huyo jamaa kumbe post za juu ndio aliandika hivyo!!!

Analeta mambo ya AI kwenye formation ya odds???

Ai teknolojia ya juzi ansihusisha na mpangilio wa odds kwenye betting iliyokuwepo miaka mingi?
 
Hoja yao ni kwamba kawaingiza watu chaka kwasababu hiyo inayoonekana kama lost sio lost halisi kwasababu hizo ni hela hewa hata angeshinda isingebadilisha kitu.

Yani ni hela pambo ambayo utaishia tu kuiona hapo kwenye account yake ya betting lakini ni hela ambayo hawezi ku withdraw na kuitumia katika matumizi mengine.

Hayo ndio madai yao.
Hapo nimekuelewa mkuu, kumbe kwao 7.5m ni hela kubwa mno kui-betia.. Tatizo ni umaskini uliopelekea hizo fikra...
 
Mnadanganyana tu hapa.
Kamari ni uraibu mbaya sana.
Kingine the house Always win
Kamari ni asili

Kila kitu ni kamari na ndio maana tunaishi kwenye ulimwengu wenye series of random events

Hata elimu ni kamari pia kwasababu watu wanasoma ili waje kuajiriwa na saizi unaweza kusoma na PhD yako na bado ukasota mtaani kwa u jobless.

Unamposa demu unaweka stake (mahali) ili umuoe lakini hujui kama ndoa itadumu au atakuja kukusaliti na mahusiano yakaisha. Hii ni kamari yenye matumaini.

Unaweza usibeti kwakuweka hela kwenye mechi lakini ukawa umebeti kwa stake ya furaha au kupoteza furaha.

Mechi ikaisha timu yako imefungwa ndip hao watu tunasikia wamejinyonga mara wengine wamechoma jezi, wengine wameshindwa kula.

Zote ni betting.
 
Hapo nimekuelewa mkuu, kumbe kwao 7.5m ni hela kubwa mno kui-betia.. Tatizo ni umaskini uliopelekea hizo fikra...
Davido alibeti dola 25,000 mechi ya Nigeria na Tanzania kuwa zifungane.

Wakamaria wazoefu wote walistaajabu tu hiyo stake ulivyokuwa kubwa ukilinganisha na uwezo wa Stars ulivyo afu apate goli kwa Nigeria waliona ni ngumu.

Lakini hakuna Mkamaria aliyewaza kuwa ile sio hela halisi na kwamba Davido anafanya scam.

Ni kwasababu wao wanajua kamari na wanajua kuna madaraja ya ukamaria kutofautiana na uchumi wa mtu mmoja mmoja.

Mi ningewaelewa kama imetokea odds alizowapa wao zimechana lakini odds hizo hizo kwake zime boom

Yani kwenye mikeka yetu huku PSG kafungwa lakini kwenye mkeka wa Hanscana PSG kashinda bao 4 na mkeka umetiki.

Lakini wote mmechana na matokeo ya mechi ni hayo hayo hata livescore, sasa huo utapeli uko wapi?
 
Kamari ni asili

Kila kitu ni kamari na ndio maana tunaishi kwenye ulimwengu wenye series of random events

Hata elimu ni kamari pia kwasababu watu wanasoma ili waje kuajiriwa na saizi unaweza kusoma na PhD yako na bado ukasota mtaani kwa u jobless.

Unamposa demu unaweka stake (mahai) ili umuoe lakini hujui kama ndoa itadumu au atakuja kukusaliti na mahusiano yakaisha. Hii ni kamari yenye matumaini.

Unaweza usibeti kwakuweka hela kwenye mechi lakini ukawa umebeti kwa stake ya furaha au kupoteza furaha.

Mechi ikaisha timu yako imefungwa ndip hao watu tunasikia wamejinyonga mara wengine wamechoma jezi, wengine wameshindwa kula.

Zote ni betting.
Mkuu naona unajaribu kumpaka simba rangi ya punda milia.
Sikia wazungu wameanzisha mpaka clinic za uraibu wa kamari(betting, casino) watu wanakaa Sober unajua kwanini??
Mkuu Kamari inavichocheo vyake "Dopamine" na hiki kitu hakuna mcheza kamari aliekomaa anaweza kukicontrol.
All in all kama kuna watu inawapa furaha tuwaache,,
 
Clinic tena?

Au labda umekusudia maswala ya counselling na cognitive behaviour therapy (CBT)

Kwasababu addiction ya kamari haihusishi kemikali kutoka nje kuingia mwilini. Ni tatizo la ubongo la tabia za kujirudia.

Tafsiri yako ya Mkamaria aliyekomaa kushindwa kuji control umeijenga katika muktadha upi?

Sio kila mtu anayebet anakuwa na uraibu, wengine wana self control.

Mfano kuna watu ambao wanabet siku za wikiendi, hawa mechi za katikati hawabeti na wapo ambao wanabeti kama burudani tu
 
Back
Top Bottom