Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Mbona Balance 0?View attachment 3529490🥺🥺🥺
Una kichwa kizito kuelewa kwelkwel, hascana na hao wenzie wote wapo kwenye payroll ya PR, mkeka ushinde au uliwe kwake haina hasara maana ni maigizo ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kubet na kuliwaKwa hiyo unazungumzieje siku zote anavyopiga PR sisi tunampa psg na tunakula hela? Au tukina hela anakua hajapiga PR?
Kwa mfano msanii akiwa kwenye payroll kutangaza bidhaa, unazisusa kisa msanii amelipwa kutangaza?Una kichwa kizito kuelewa kwelkwel, hascana na hao wenzie wote wapo kwenye payroll ya PR, mkeka ushinde au uliwe kwake haina hasara maana ni maigizo ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kubet na kuliwa
Nili stake high 🥺Mbona Balance 0?
Naona slips 3 zinapumuaView attachment 3529490🥺🥺🥺
Sijasema kama situmii mm nasema hyo ni PR tu hao wasanii wanachofanyaKwa mfano msanii akiwa kwenye payroll kutangaza bidhaa, unazisusa kisa msanii amelipwa kutangaza?
Wewe hutumii kitu chochote kilichofanyiwa marketing na PR? Unatumia mtandao gani na benki gani kwanza ambazo umeunda mwenyewe. Maana benki na mitandao yote inafanya marketing na PR.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu uzi kashauona JITU BANDIA
Anakwambia mikeka yake huwa anaipaka vilainishi hivo haiwezi kumkwangua mkamalia 😂😂😂😂
Tafuta hela punguza hasira, huyo bwana ako Hanscana nimeanza kubet kabla yake... Sasa kwa akili zako za funza endelea na mentality zako za chekecheaUna kichwa kizito kuelewa kwelkwel, hascana na hao wenzie wote wapo kwenye payroll ya PR, mkeka ushinde au uliwe kwake haina hasara maana ni maigizo ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kubet na kuliwa
Nayo hii pia ni sawaKuliko aweke hiyo option unayosema bora angeachana kabisa na hiyo match.
Achana na wafia imani, kinachowasukuma kusema hivyo ile hoja yao kuwa betting ni dhambi na sio vinginevyo.Hanscana aliwaambia Watanzania wampe Psg halafu akaenda Ufaransa akawaambia Psg wafungwe ili watanzania waliwe.... hapa ndo utaamini watanzania wana IQ ndogo sana.
Huwa unabet lo???
Betting ni laana... hapana...Huwa unabet lo???
Amen! Nasikia ukizoea unakua addicted kiasi kwamba kuja kuacha mpaka Mungu aingilie katiBetting ni laana... hapana...