Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Keep on suckingTafuta hela punguza hasira, huyo bwana ako Hanscana nimeanza kubet kabla yake... Sasa kwa akili zako za funza endelea na mentality zako za chekechea
Keep on suckingTafuta hela punguza hasira, huyo bwana ako Hanscana nimeanza kubet kabla yake... Sasa kwa akili zako za funza endelea na mentality zako za chekechea
ukiweka hata laki 5 tu man city apate goli moja utashangaa game imeisha 0-0 ....Ila alijitahid sana kuchagua option za uhakika lakin bado kikamramba
Ukitaka kujua hawa jamaa(kampuni za betting) haziwezekani we weka tu hela kubwa utajua hujui
ukiweka hata laki 5 tu man city apate goli moja utashangaa game imeisha 0-0Ila alijitahid sana kuchagua option za uhakika lakin bado kikamramba
Ukitaka kujua hawa jamaa(kampuni za betting) haziwezekani we weka tu hela kubwa utajua hujui
sportybet hawakupi goli moja game ya PSG....utashangaa wanaanza na over 1.5 halafu odds 1.09Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
hao ni betting influencer wanapewa demo accounts kufanya PR na wanalipwa commissions kwa codes wanazo share.Hata sativa na Taivina nina wasiwasi nao
Ila hao niliowataja hawalipishi grouphao ni betting influencer wanapewa demo accounts kufanya PR na wanalipwa commissions kwa codes wanazo share.
Pia wana apps na group za kubeti watsapp kazi yao ni kutoa mikeka na watu wanalipa subscription fee.
Hili mimi nitalipinga.Usichoelewa kwamba hao jamaa hawawek hela zao wenyewe bali kampuni inawapa pesa kuwahadaa wajinga kwa staili hiyo, hzo atakama mkeka ukitik hizo hela hapat na hata akiliwa hizo sio hela zake hana hasara
Kifupi ni PR au hadaa
Watanzania ugali umetudumuza akil, hiv unajua mm naongea nini kwanza?Hili mimi nitalipinga.
Nimewafuatilia Taivina, Sativa, Kuna Dem anaitwa Rachel Essau, kuna Godid. Hawa wote niko kwenye Groups zao.
1. Taivinia, Rachel na Godid wako vizuri sana kwenye Inplays. Taivia inplays za FB na Hockey. Rachel FB tu na Godid ni Basket. Ukifuatilia kazi zao wote On average ni 4/5. Which is a profitable.
2. Sativa ni Football tu, Pre Games.
Ila hata wao huwa wanalost kabisa.
Kwa experience yangu.
1. Fanya Bet either Full Time job-kwa kujua mwenyewe na Chagua Mchezo mmoja ambao utaumaster. Au Side Hustle, hapa sababu huna muda kuwa na Punter mmoja, then tembea na Slip zake. The best Punter ni yule anacheza Slip 2 au 4 kwa siku na Odds ziwe 2.
2. Hawa Punters ni Binadamu wanaongozwa pia Ni Hisia, so wakati mwingine wanafanya makosa ambayo yanawagharimu.
3. Hawa Punters ni agents wa Kampuni mbalimbali. So, kuna Commission wanalipwa na hizi Kampuni.
4. Betting ina msimu pia, kuna wakati unaweza zikusanya kinoma.
6. All in All, mimi Betting napenda Live Play ya Basket Ball. Na nafanya ninapokuwa na Muda walau kwa siku nacheza Slips 5 hadi 10. Na napenda NBA na IBPL.
View attachment 3529542View attachment 3529543
Watanzania ugali umetudumuza akil, hiv unajua mm naongea nini kwanza?
Wazungu waje watutawale tena halaf kutwa kusema CCM hawana akil wakat nyinyi wenyewe akil hata za kuelewa mada ndogo ndogo hamnaView attachment 3529570View attachment 3529570kula chuma hicho mzee. Stake, zima simu lala.
jAmaa wachaw sana,unaona Kwenye ligi Yanga anashinda kila siku mpaka tunasema ananunua mechiukiweka hata laki 5 tu man city apate goli moja utashangaa game imeisha 0-0
Afu kuna timu sio za kubetia kabisa afu ukaweka hela kubwaHiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
mkuu kwan we hutaki utajiri wa kubeti weka vyote ulivyonavyo ili ufaidike mara tano