F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
Okay, asante, ni ngumu kidogo, kumtumia stranger akuchezee kwenye account yake.
KweliMzigo mrefu unaweka kwenye timu moja tu ,hauwezi kuweka multiple mzigo mrefu namna hiyo.
Multiple ngumu sana kushinda ni BAHATISHA NDULUTE.
Kila kitu kwenye maisha ni kubetiHanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi.
Una maoni gani?
View attachment 3529432
Basi funga bakuli lakoNawezaje kuwa na maoni na pesa za mtu?
Betting sio kamari ya upande mmojaKampuni ya betting haipend haiwezi kusababisha hata mara moja wewe ulost kwasababu hata wenyewe hawajui matokeo yatatokaje. Lakini anajua hata iweje lazima faida iende upande wake . Leo ukipata milion moja kuna uwezekano ukaja kuirudisha yote au kurudisha hata mara 5 ya hiyo pesa. Mhindi anataka ushinde ili akupige vizuri , mtu aliyewahi kushinda pesa kubwa ni rahisi kuja kupigwa kuliko ambaye hajawahi kushinda. Na hata ukishinda wewe kuna maelfu watapoteza. Mimi nimewahi kushinda milion 4 ila nilikuja kupoteza over 15M + ile milion nne yao , imagine yeye kazi yake kununua platform na kuweka mtaji , wewe unaweka pesa na bado uchague timu ambazo zitashinda na tena ukikosea hata moja kwenye timu 20 bado anakugonga. Kwa ufupi betting ina faida kwa mmiliki sisi wengine tunajifurahisha huku tunaumia
We jamaa tulia huifahamu biashara ya betting japo 1% Unajua sababu ya Mbet kusitisha huduma? Et jamaa linasema kesho yake wakatangaza kusitisha huduma🤣 wewe unafikiri mtaji wa kuanzisha biashara ya betting ni milion 5?Betting sio kamari ya upande mmoja
Usione malalamiko ya watu kuchaniwa mikeka yao ukaona upande wa pili wa kampuni wao hawapati hasara.
Haipo hivyo
Makampuni yanaliwa pesa na kuna muda unakuta umeshinda lakini kila ukijaribu ku withdraw hela haitoki.
Kumbe kampuni limeenda benki kukopa ili kufidia hiyo hasara.
Mfano mzuri wa hivi karibuni ni M-Bet
Tarehe 21 October kulikuwa na mechi nyingi sana
Na big mechi zote zilitoa magoli mengi
View attachment 3530038
Hii ni siku ambayo wakamaria asilimia kubwa walishinda bet zao.
Kilichofuata kesho yake M-Bet wakatangaza kusitisha huduma zao na kwamba wale wote ambao hawajalipwa stake zao watalipwa na wakilipwa wasi deposit tena.
Kama huamini kuwa makampuni ya betting yanafilisika basi kuna mengi huyajui kwenye betting.We jamaa tulia huifahamu biashara ya betting japo 1% Unajua sababu ya Mbet kusitisha huduma? Et jamaa linasema kesho yake wakatangaza kusitisha huduma🤣 wewe unafikiri mtaji wa kuanzisha biashara ya betting ni milion 5?
1. Mbet walifunga huduma Tanzania sio kwasababu ya mtaji bali ugumu wa soko , kampuni yeyote ina limit ya ushind haititokea wachezaji washinde fedha nyingi kuliko mitaji yao, hata bodi ya michezo ya bahatI nasibu inasimamia hilo
2. Kuhusu fedha kuchelewa kutoka , labda kuwe na tatizo la mtandao au itokeee washindi washinde zaidi ya bilion 50 kwa mara moja kwasababu miamala yote tanzania inasimamiwa na BOT na ina limit hizo limit zipo kuokoa hasara inayoweza kutokea ikiwa mifumo au wizi utatokea it means hutaweza kuiba zaidi ya bilion 50 kwahiyo hapo kama mtashinda mara moja itabidi wengine walipwe leo wengine kesho na kesho kutwa hata wiki kulingana na idadi ya washindi na kiasi usije kudhani kampuni ya betting itakosa pesa ya kukulipa kama umeshinda, mradi wameruhusu kiasi ulichoweka kwenye mkeka ukishinda kama hakuna fraud yeyote utashinda tu.
Ukiacha biadhara ya madawa ya kulevya , website za ngono , biashara namba 3 inayoingiza mkwanja mrefu ni casino& Betting jifunze zaidi kijana sio kuropoka tu
Acha upotoshaji kijana. Kwanza hakuna kampuni ya betting ya ndani nikimaanisha hakuna kampuni ya betting inayomilikiwa na mtanzania zote ni wawekezaji unajua kwanini? Home work nimekupa hiyo. Pili hakuna kampuni ya bettting tanzania hii iliyowahi kufilisika kwasababu watu wameshinda. Haipo na haitakaa itokee ,Kama huamini kuwa makampuni ya betting yanafilisika basi kuna mengi huyajui kwenye betting.
Kwanza nianze na hiyo ya kusema ina limit ya ushindi
Ni kweli ina limit ya pesa ya kumpa mshindi, ukizidisha odds zenye payout kubwa automatically mkeka utagoma kukaa.
Lakini hii ni individual bet. Nikiwa na maana kwamba hakuna uwezekano wa kusema nikiweka mkeka wangu ambao haukikuki sera zao za malipo waukatae kwasababu kuna watu wengi leo wamebeti hivyo wamefikia kiwango cha mwisho cha uwezo wa kampuni kulipa.
Yaani ni hivi. Kampuni uwezo wake wa mwisho ni kulipa milioni 500 kwa mtu mmoja
Haina maana kwamba watu miatano wakibeti mikeka yenye payout ya 10M wakataliwe kwasababu jumla ya pesa imevuka milioni 500.
Halafu kingine
Kampuni nyingi za betting za hapa ndani hazina mitaji hiyo ambayo wewe unaidhania.
Kampuni nyingi za ndani zina mitaji ya kubabaisha na kutegemea mikopo benki pamoja na dua nyingi za kuomba watu wachaniwe.
M-Bet ni kampuni kongwe na dalili zake za kufilisika tulikuwa tunaziona.
Soma hapa haya malalamiko ya mdau.
Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
- gillana
- mbet
- Replies: 118
- Forum: Jamii Sports
M-Bet tangu mwanzoni mwa mwaka jana walikuwa wanasema wanatarajia kufunga huduma zao.
Lakini kila siku wanatoa odds na watu wanaruka nazo japo ukishinda ilikuwa ni rahisi kukutana na uswahili kwenye malipo.
Lakini October 21 baada ya watu wengi kushinda bet, kesho yake kulivyo kucha tu walifunga kampuni bila kuweka wazi sababu.
Na pia ukumbuke usiku wa kuamkia hiyo siku watu wengi hawakuweza ku withdraw hela zao kulikuwa na usumbufu wa malipo.
Hiyo ya kusema mtandao sijui ulisumbua ilikuwa ni zuga tu lakini uhalisia ni kwamba wakamaria walitikisa uchumi wa kampuni.
Hata Wasafi nayo ni kampuni ambayo watu wameinyooshea vidole ukishinda bet ya hela kubwa wanafuta na mkeka.
Kwanza unaonekana hauzingatii au hauosmi kwa makini nachoandika.Acha upotoshaji kijana. Kwanza hakuna kampuni ya betting ya ndani nikimaanisha hakuna kampuni ya betting inayomilikiwa na mtanzania zote ni wawekezaji unajua kwanini? Home work nimekupa hiyo. Pili hakuna kampuni ya bettting tanzania hii iliyowahi kufilisika kwasababu watu wameshinda. Haipo na haitakaa itokee ,
KUHUSU LIMIT YA USHINDI
limit ya ushindi usifikiri ni jambo la bahati mbaya karibu kampuni zote zina limit ya ushindi isipokuwa kampuni moja tu ndio nilion mtu anaweza kushinda kiasi chochote ila pia haizidi timu 50 kwenye mkeka wako. Haya hayawekwi bahati mbaya bali yanaweza kuzuia watu wazishinde kuliko mtaji uliopo. Yani haitatokea mtu ashinde ikosekane pesa ya kumlipa na ndio kazi ya bodi ya michezo ya bahati nasibu. Kama kiwango chako cha mwisho kushinda ni 500Milion ina maana sio ticket moja hata mkibeti watu 1000 wote hawatabeti kama ulivyobeti wewe au kuweka timu ulizoweka wewe hivyo hivyo kwahiyo hakuna uwezekano wa watu wote kushinda kiwango cha mwisho kilichowekwa ndio mana huoni kuwa umezuiwa kubeti kwakuwa kiwango cha mwisho kwa watu wengine kimefikiwa. Kulingana na system mnavyobeti wote ina uwezo wa kuonesha kiwango mnachoweza kushinda na kupteza maana mkeka wako hautafanana na watu wote kwenye mechi moja. Napia wana kazi ya ku control odds kwenye risk management.
Kuhusu bank kukopesha Kampuni za betting , bwana mdogo usifikiri kila biashara unaweza kukopa bank. Bank hairuhusu tu hata kutoa pesa kutoka kampuni ya kubetia , utadepsit lakini kutoa hawata kuruhusu , kila nchi ina sera zake za kifedha.
Ukiona kampuni imeondoka sokoni hususani tanzania ujue kikwazo ni wateja. Kodi , pamoja na wafanyakazi wasio na weledi au kuamua kuweka nguvu kwenye masoko mengine kwamfano , 22bet iliondoka 2022 chanzo soko lilikuwa gumu kwao, 10bet alitawanya huduma karibu nchi zote africa baadaye akafeli kwenye soko akamua kufunga kote akaweka Nguvu South Africa, Winprinces naye alifeli kwenye soko akasimamisha online operation akawekeza kwenye casino na maduka, Gobet aliingia kichwa kichwa akaajiri wapumbavu , wakawa wanatumia watu message eti ni upumbavu kutocheza na gobet, michezobet yeyebalibadili jina tanzania ikaitwa pigabet, Betx yeye naye alibadili jina na kuitwa Tembo bet , Mbet chini ya bwana Dhiresh kaba alifeli kwenye soko kutokana na kutokubadilika wateja wengi wakahama , alifunga operation Kenya 2021 , 2022 alifunga Congo tanzania akahama websit kutoka mbet.co.tz akafungua tovuti mpya , hii kwa wataalamu wa SEO wanaelewa athari yake
Kabla ya hapo pia superbet ilifunga operation Tanzania ikahamia south Africa.
Tanzania kwenye tansia ya betting bado tupo nyuma kampuni ikiwa haina watu smart inafeli miongoni mwa sababu nyinginye. Kitakwimu tanzania inashika nafasi ya 6-7 kwa nchi ambazo zinaruhusu betting
1. South africa
2. Kenya
3.nigeria
4. Uganda
5. Ghana
6. Tanzania
Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomMkuu kwanin umepumzika au umezichoka pesa za mhindi?Nimepumzika kubet ila hiyo ni stake ya kawaida sana sema amezingua kwenye option!
We jamaa ni mgumu sana kuelewa tuliza akili soma kwa makini.Kwanza unaonekana hauzingatii au hauosmi kwa makini nachoandika.
Mimi sijapinga kuwa hakuna limit ya ushindi.
Pili usichanganye wingi wa timu na wingi wa pesa, havina uhusiano kabisa.
Kumbuka ni limitation katika pesa na sio odds wala wingi wa timu. Hili nadhani hulijui labda kwasababu ni mchanga kwenye industry.
Mtu anaweza kuwa na mechi 5 tu kwenye slip yake halafu akawa na payout kubwa kuliko huyo mwenye mechi 50.
Kinachoamua payout iwe kubwa au ndogo kwenye mkeka sio wingi wa mechi ni wingi wa odds, natamani ungejua hii.
Nakupa mfano wa mwisho (nakubetia kuwa utaweza kuelewa awamu hii) so don't rip the mat nigga.
Limitation ya kampuni ipo kwenye single user sio watu wote. Kwanini?
Kampuni litanaweza kuseti kiwango cha juu cha kuweza ku afford kumlipa mtu ni milioni 500. Kumbuka hiyo ni kwa mtu mmoja.
Haina maana kwamba watu 500 wakibeti siku hiyo wakiweka mikeka yao ya kushinda milioni 10 kila mmoja, bet hiyo ikataliwe eti kwasababu total ya pesa kwa watu 500 kwa milioni 10 ni bilioni 50 ambayo imevuka limit ya sera ya kampuni ku afford kulipa mtu.
Halafu kuna ushamba mwingine nimeona umeandika hapo eti hata wakibeti watu 500 hawatabeti kama wewe.
Kwanza nikupe ufafanuzi mdogo kwenye hii nadharia yako.
1. Target sio watu kufanana mikeka, target ni kufikia ukomo wa juu wa kampuni kulipa mtu.
Kwa hiyo hoja sio watu 500 kutobeti mkeka wenye kufanana na wewe, hapa hoja ni mikeka randomly yenye kuzidi kiasi cha 500M kilichowekwa kwa mtu mmoja.
Nadharia yako ina sound hivi
"Ina maana kwamba ikiwa kampuni limebainisha linaweza kulipa 500M basi linapaswa kupiga lock mfumo wake wa betting ikiwa kutakuwa na mikeka randomly yenye kufikia hicho kiwango."
"Maana yake mtu mwingine hata akitaka kubeti ili apte buku mfumo utakuwa unamgomea kwasababu kuna watu wengine wametangulia kuweka mikeka yenye kufikia ukomo wa kampuni kulipa."
Sasa hapa nakuongezea swali, ni kampuni gani uliliwahi kushuhudia mtu anashindwa kubeti hata kwa payout ya laki kwa madai ya kwamba tayari idadi ya watu waliofanikiwa kubeti imefikia ukomo wa kampuni kulipa hivyo kampuni halipokei mikeka mipya?
2. Nataka nijibu hoja yako ya kusema haiwezekani watu 500 kuweka mkeka unaofanana na wewe.
Siku hizi mitandao imerahisisha sana, watu wana share codes za mikeka na hata humu JF upo uzi ambao wadau wana share mikeka.
Kwa hiyo hata hoja yako ya kusema kwamba watu 500 kutoweza kufanana mikeka nayo si ya kweli.
Na kama hujui hadi kampuni lenyewe la betting linatoa odds ambazo zinakuwa displayed na zinaonwa na maelfu ya watu na wanazitumia.
Mpaka hapo unaona hoja zako zilivyokuwa flawed?
Huko kwenye mikopo na umiliki wa wabongo kwenye betting kampani napo kuna dosari nyingi.
Wewe unazungumzia branches, mimi nazungumzia real owners
Wasafi bet ni kampuni kutoka wapi?
Nimepumzika tu mkuu ila sijaacha wakamalia damu yetu ni yaJana Nap
Kijana wa kino huyoHadi mitaj ya watu mnaijua?
Nimefurahi jinsi ulivo ni quoteJana Nap
Kama umeshindwa kunielewa Angalau Chatgpt amagusia soma hapaKwanza unaonekana hauzingatii au hauosmi kwa makini nachoandika.