Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Betting kwako unaichukuliaje kwani?Kuhusu bank kukopesha Kampuni za betting , bwana mdogo usifikiri kila biashara unaweza kukopa bank. Bank hairuhusu tu hata kutoa pesa kutoka kampuni ya kubetia , utadepsit lakini kutoa hawata kuruhusu , kila nchi ina sera zake za kifedha.
Bajeti ya mwaka wa fedha ya 2024/2025 ilikupita?
Incase haukusoma basi iko hivi
Shilingi bilioni 17.42 zimeingia serikalini mwaka wa fedha 2024/25 kutoka sekta ya michezo ya kubahatisha.
Shilingi bilioni 29.89 zinatarajiwa kukusanywa mwaka wa fedha 2025/26.
Leseni 14,124 zinapangwa kutolewa (mpya 845 na kuhuishwa 13,279).
Kwa hiyo kusema hakuna benki itazikopesha kampuni za betting Huu ni upotoshaji.
Sekta inayolipa kodi ya mabilioni na kupewa leseni na serikali ni sekta halali ya biashara. Benki zinakopesha biashara halali zenye mtiririko wa mapato.