Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Hebu tuliza kichwa we jamaa kuna serikali gani bila watu? Ushawahi kusikia serikali ya mbuzi? Basi nakupa darsa popote pale ukisikia neno serikali jua ni watu
Unakurupuka. Kasome tena comment yangu halafu unijibu
 
Tuombe Mungu hii kitu isiwafikie wazee wa kigoma ujiji, mpka majirani wa wauwaji wataipatapata
 
Nasikia sikia watu wakisema serikali hairogeki wala hailaaniki.
Kwani wanaroga au wanamlilia Mungu.

Serikali ikisema ua inabidi ujiongeze... Ww sio jokeri ndo mana Mungu akakupa utashi na akili
 
Daah aisee!!
Jamaa alizidi naye kuonea watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…