Wapare nawaaminia. Naomba nao wajitokezeWapi wapare?
Hao watu chungu chao weka mbali kabisa
Safi sana unajua hata wachaga wana hili la kuvunja chungu! Hilli linamaliza familia na ukoo wa washenzi walioshiriki ushenzi! Wachaga kaeni mkao wa kurudi edeni!Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.
Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.
Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.
Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.
- Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Alli Mohamed Kibao
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ngongo kwasasa Kikatiti.
Safi sana unajua hata wachaga wana hili la kuvunja chungu! Hilli linamaliza familia na ukoo wa washenzi walioshiriki ushenzi! Wachaga kaeni mkao wa kurudi edeni!
Hamnaga kitu kwenye hayo matambiko. Wanatishiwa wenye hizo imani za kishirikina.Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.
Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.
Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.
Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.
- Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Alli Mohamed Kibao
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ngongo kwasasa Kikatiti.
Ipo uliza watu wa masainiHamnaga kitu kwenye hayo matambiko. Wanatishiwa wenye hizo imani za kishirikina.
Kuna watu wanaitwa "wakamba" aisee ni hatar chungu kikivunjwa bas kuanzia kesho yake kabla jua halijatus linaondoka na mtu ,kesho yake Tena kabla ya jua kutua linatua na mtu,kesho kutwa yake jua linatua na mtu,yaan mpaka ukoo unaisha ,na kama Kuna mtot ulizaa njee au yupo ndan ya ukoo naye kwisha.Wapi wapare?
Hao watu chungu chao weka mbali kabisa
Msije tuulia maza๐๐๐๐Chungu inaondoka na WOTE WALIOSHIRIKI...kuanzia aliyetuma mauaji yafanyike hadi kila mmoja alieshiriki hata kushirikiana na wauaji kwa namna yoyote kutekeleza uuaji huo.
Kwamba huo usanii mjini haufiki, au lazima uwe porini tu?Ipo uliza watu wa masaini
Sio wa mjini
Sio kweliWapi wapare?
Hao watu chungu chao weka mbali kabisa
Wamasai nao na matunguli Wapo vizuri sasa mboni wamemshindwa yule Bibi anaewatimua?Ipo uliza watu wa masaini
Sio wa mjini
Wewe ni mmasai au Mmeru? Je! Unaamini nguvu za matunguli ya Wamasai au Wameru? Maana sasa imebidi twende kitamaduni zaidi unaamka umepigwa chale na aliekupiga chale humjuiAtakayepona hapo ni Mpango TU. Wenginw sijui
Kama haiolegeki nenda kawaulize ndugu zake Ditopile Mzuzule kilichomkuta ndugu yao huyo nilomtaja amvaye alikuwa mkuu wa mkoa wa Tabora enzi za JK aliyemuua dereva daladala kwa kumpiga risasi aliishi siku ngapi baada ya lile tukioNasikia sikia watu wakisema serikali hairogeki wala hailaaniki.
Najua alifia hotelini Morogoro, lkn wahuni wanasema ilikuwa coincidence tuKama haiolegeki nenda kawaulize ndugu zake Ditopile Mzuzule kilichomkuta ndugu yao huyo nilomtaja amvaye alikuwa mkuu wa mkoa wa Tabora enzi za JK aliyemuua dereva daladala kwa kumpiga risasi aliishi siku ngapi baada ya lile tukio