Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

sisi wazee wa pure mathematics tumesema jibu ni 9 watu wa hkl tena div 0 wanakuja na majibu yao ya kiwaki tungeleta hesabu za kuassigns numbers to functions in a way that describes displacement, area, volume, and other concepts that arise by combining infinitesimal data ingekuwaje ?..Yan wanatutangazia indirectly kwamba yalitaga hesabu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unafunguaje mabano bila kufanya multiplication na ipo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii hesabu ni ya shule ya msingi darasa la saba B!

Nikimkumbuka mwalimu wangu kwa sheria ya MAGAZIJUTO jibu sahihi ni 9

Yani ni hivi:

6÷2(2+1)=

6÷2x(2+1)=

6÷2x3=

(6÷2)x3=

3x3=9

Ni ajabu sana kuona watu mnajifnaya mmefika hadi chuo kikuu alafu tunawashinda sisi tulioishia darasa la saba na kimalizia na QT.
Umewezaje fungua hayo mabano bila kuzidisha? Unless hapakuwa na namba ya kuzidishia kushoto kwa mabano
 
Hapa mkuu aangalia hapo
Sijaona hiyo point of contention mkuu, nilichojaribu kusema ni kwamba, watu wanaona smartphones/PC kama vifaa vinavyofanya standard operations tu, na kusahau kwamba vinaweza kufanya operations kama kama scientific calculators sema kwenye modality tofauti.
 
Okay humu hauwezi kufanya setting ila hio scientific calculator unaiset tu inakuletea majibu tofauti kabisa kutokana na ulivyoiset
 
Okay humu hauwezi kufanya setting ila hio scientific calculator unaiset tu inakuletea majibu tofauti kabisa kutokana na ulivyoiset
Kimsingi nakubaliana na wewe kwamba jibu linaweza tokana na setting na inputs za mtumiaji 100%, and it is logically correct from a mathematical point of view.
 
Kama ulisoma shule za Tanzania na ukaelewa vizuri kanuni ya MAGAZIJUTO, jibu sahihi ni 9.

Hao waliopata 1 watakuwa walisomea Somalia.
 
What you guys don't know is that this is ambiguous mathematics questions which can have multiple answer according to your interpretations. This means 1 and 9 can be both right answers, I will explain. .

If you calculate by smartphone calculator 6÷2(2+1)
Then due to basic programming it give result from left to right as
6÷2(3)= 9
3(3)=9
9 is a correct answer to this by applying the above formula. Those who got 9 got it right through explanation.

On other hand, scientific calculator calculate 6÷2(2+1) -
=6÷2(3)
=6÷6
=1
But 1 is correct answer by standard mathematics as this formula should be interpreted as “6 / (2 * (2 + 1))”, so the result is 1.

Hesabu huwa inatoa majibu mazuri kupitia mifano, got this somewhere:

I buy a snack for $2 and a drink $1, and I do this twice a week. How many weeks can I do this with $6?
$6 / 2($2+$1) = 1 (week)
Kama umesha jumlisha (1+2)=3 hupaswi tena kuandika hivi 6÷2(3) kwa maana ulipo jumlisha (1+2) hapo ni sawa uliondoa hizo brackets. Kwahyo ilipaswa baada ya kujumlisha iwe hivi 6÷2×3

Mathematics formula
 
Attachments

  • riddles.png
    riddles.png
    9 KB · Views: 4
Kama umesha jumlisha (1+2)=3 hupaswi tena kuandika hivi 6÷2(3) kwa maana ulipo jumlisha (1+2) hapo ni sawa uliondoa hizo brackets. Kwahyo ilipaswa baada ya kujumlisha iwe hivi 6÷2×3

Mathematics formula
hawajui hesabu hao achana nao
 
Duh.. Tanzania kumbe watu hawajui hesabu kabisa!
 
Kama umesha jumlisha (1+2)=3 hupaswi tena kuandika hivi 6÷2(3) kwa maana ulipo jumlisha (1+2) hapo ni sawa uliondoa hizo brackets. Kwahyo ilipaswa baada ya kujumlisha iwe hivi 6÷2×3

Mathematics formula
Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .

I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .
 
Back
Top Bottom