Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Nilimjibu jamaa kiona 2(3) maana yake ni 2 x 3 = 6.
Ukifungua mabano unazidisha siku zote, Ukiona unafungua mabano inayofuata ni kuzidisha kilicho kwenye mabano...
Watu ambacho hawajui ni kuwa any number outside ya mabano upande wa kushoto jua ni part ya mabano, ndiyo maana hakuna any operator ila maana halisi ni multiplication.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii hesabu ni ya shule ya msingi darasa la saba B!

Nikimkumbuka mwalimu wangu kwa sheria ya MAGAZIJUTO jibu sahihi ni 9

Yani ni hivi:

6÷2(2+1)=

6÷2x(2+1)=

6÷2x3=

(6÷2)x3=

3x3=9

Ni ajabu sana kuona watu mnajifnaya mmefika hadi chuo kikuu alafu tunawashinda sisi tulioishia darasa la saba na kimalizia na QT.
Mkuu toka lini fisiemu wakawa na majibu sahih?
 
madam hapana jibu ni 9 hesabu haina majibu mawili na ndio maana ni rahis kupata mia na ndio maana ma TO wengi wanatokaga PCM sababu haya msomo hayana janja janja majibu yake ni universal na vitu kama hivyo
Mkuu sorry lakini nasikia hasira sana unaposhindwa hesabu ndogo kama hiyo, so kufungua mabano wewe unaelewa nini kama namba ilo nje ya mabano?
 
Umekosea, kitaalamu hayo mabano huwezi kuyafungua bila kuzidisha hiyo mbili iliyo nje ya mabano. Usisahau kuwa 2 ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani ya mabano kwasababu hakuna tendo la kuzidisha hapo katikati. Kitaalamu hiyo mbili ya nje ya mabano ni common factor ya (2 +1). Inawezekana ulikimbia hesabu za factorization wewe. Scientific calculator iko sahihi
Mkuu watu wengi ni wapumbavu, hawajui kwanini namba inakuwa nje ya mabano
 
Kwamba hawajui maana ya namba kuwa nje ya mabano?
Screenshot_20220904-215311_Chrome.jpg
 
demu wangu secondary alichukuliwa na wazee wa hesabu hivi hivi (in lufufu voice)
 
hesabu ni janga la kitaifa, huwezi ukagawanya namba jibu likawa kubwa kuliko namba inayogawanywa!
Mbona 5 gawanya kwa nusu ni kumi ??????

Namba imegawanya na imeongezeka vile vile!

Wewe ndio janga la Taifa
 
Mkuu,
Amini nakuambia kama na wewe umemaliza hadi chuo na bado unasema jibu ni 1, basi ulikula hela za ada za bure toka kwa mzee wako
Dah- This is too much aisee, kuona graduates wanashindwa kufanya hata swali la mtoto wa standard V binafsi imenifanya nishtuke na kusikitika sana. Graduate anajibu serious kabisa jibu ni 1, bora wote tufanywe wakulima,
 
Kuna scientific calculator na Calculator ya simu.

Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
View attachment 2337657
Huku kwenye calcutor scientific amefanya settings kuna namna ya kuiset hio calculor inategemea unafanya hesabu gan

Kwenye simu hajaset chochote anatumbukiza tu

BAM kitambo
 
Huku kwenye calcutor scientific amefanya settings kuna namna ya kuiset hio calculor inategemea unafanya hesabu gan

Kwenye simu hajaset chochote anatumbukiza tu

BAM kitambo
Tusisahau hata smartphones zina version ya standard and scientific calculator
 
Back
Top Bottom