Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Wewe naye umewavuruga tu watu hapa. Wambie warejee hesabu za factorization za form two, wataelewa kuwa mbili ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani, imekuwa factorized au tunaweza ita ni common factor
Hicho unachisema ni kweli lakini ni katika specific cases tu zinazo involve operations za × na ÷. huwezi kuwa na mathematical expression yenye operations zote (+, -, ×,÷) halafu hiyo sheria ika apply na BODMAS Isi apply, kumbuka hapo katika 6÷2(2+1) BODMAS ina apply.