Wewe siyo mathematicianTuwe wakweli hilo swali ukilifafanua ni
6/2*3 ambapo ni 3*3 na jibu ni 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe siyo mathematicianTuwe wakweli hilo swali ukilifafanua ni
6/2*3 ambapo ni 3*3 na jibu ni 9
Mkuu ni smartphone ya kutoka nchi gani?Kwahiyo jibu ni ngapi ? Smartphone yangu inasema 9 pia.
Watu ambacho hawajui ni kuwa any number outside ya mabano upande wa kushoto jua ni part ya mabano, ndiyo maana hakuna any operator ila maana halisi ni multiplication.Nilimjibu jamaa kiona 2(3) maana yake ni 2 x 3 = 6.
Ukifungua mabano unazidisha siku zote, Ukiona unafungua mabano inayofuata ni kuzidisha kilicho kwenye mabano...
Mkuu toka lini fisiemu wakawa na majibu sahih?[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii hesabu ni ya shule ya msingi darasa la saba B!
Nikimkumbuka mwalimu wangu kwa sheria ya MAGAZIJUTO jibu sahihi ni 9
Yani ni hivi:
6÷2(2+1)=
6÷2x(2+1)=
6÷2x3=
(6÷2)x3=
3x3=9
Ni ajabu sana kuona watu mnajifnaya mmefika hadi chuo kikuu alafu tunawashinda sisi tulioishia darasa la saba na kimalizia na QT.
Mkuu sorry lakini nasikia hasira sana unaposhindwa hesabu ndogo kama hiyo, so kufungua mabano wewe unaelewa nini kama namba ilo nje ya mabano?madam hapana jibu ni 9 hesabu haina majibu mawili na ndio maana ni rahis kupata mia na ndio maana ma TO wengi wanatokaga PCM sababu haya msomo hayana janja janja majibu yake ni universal na vitu kama hivyo
Wewe una akili, wengine sijui wanatumia nini. Big up mkuuMaana ya mabano ni ufanye kwanza kilichomo ndani ya mabano na sio ufungue mabano, kuna tofauti kati...
South KoreaMkuu ni smartphone ya kutoka nchi gani?
Wewe ni chizi, lakini ni haki yakoJibu sahihi ni 9
Mkuu watu wengi ni wapumbavu, hawajui kwanini namba inakuwa nje ya mabanoUmekosea, kitaalamu hayo mabano huwezi kuyafungua bila kuzidisha hiyo mbili iliyo nje ya mabano. Usisahau kuwa 2 ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani ya mabano kwasababu hakuna tendo la kuzidisha hapo katikati. Kitaalamu hiyo mbili ya nje ya mabano ni common factor ya (2 +1). Inawezekana ulikimbia hesabu za factorization wewe. Scientific calculator iko sahihi
Kwamba hawajui maana ya namba kuwa nje ya mabano?South Korea
Kwamba hawajui maana ya namba kuwa nje ya mabano?
Mbona 5 gawanya kwa nusu ni kumi ??????hesabu ni janga la kitaifa, huwezi ukagawanya namba jibu likawa kubwa kuliko namba inayogawanywa!
Dah- This is too much aisee, kuona graduates wanashindwa kufanya hata swali la mtoto wa standard V binafsi imenifanya nishtuke na kusikitika sana. Graduate anajibu serious kabisa jibu ni 1, bora wote tufanywe wakulima,Mkuu,
Amini nakuambia kama na wewe umemaliza hadi chuo na bado unasema jibu ni 1, basi ulikula hela za ada za bure toka kwa mzee wako
Kaka, jibu kuwa 9 ni sahihi kabisa.Wewe ni chizi, lakini ni haki yako
Huku kwenye calcutor scientific amefanya settings kuna namna ya kuiset hio calculor inategemea unafanya hesabu ganKuna scientific calculator na Calculator ya simu.
Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
View attachment 2337657
Tusisahau hata smartphones zina version ya standard and scientific calculatorHuku kwenye calcutor scientific amefanya settings kuna namna ya kuiset hio calculor inategemea unafanya hesabu gan
Kwenye simu hajaset chochote anatumbukiza tu
BAM kitambo
Hio calculator ameset mkuu wewe elewa hivyoTusisahau hata smartphones zina version ya standard and scientic calculator