Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Unafunguaje mabano bila kufanya multiplication na ipo?
 
Umewezaje fungua hayo mabano bila kuzidisha? Unless hapakuwa na namba ya kuzidishia kushoto kwa mabano
 
Hapa mkuu aangalia hapo
Sijaona hiyo point of contention mkuu, nilichojaribu kusema ni kwamba, watu wanaona smartphones/PC kama vifaa vinavyofanya standard operations tu, na kusahau kwamba vinaweza kufanya operations kama kama scientific calculators sema kwenye modality tofauti.
 
Okay humu hauwezi kufanya setting ila hio scientific calculator unaiset tu inakuletea majibu tofauti kabisa kutokana na ulivyoiset
 
Okay humu hauwezi kufanya setting ila hio scientific calculator unaiset tu inakuletea majibu tofauti kabisa kutokana na ulivyoiset
Kimsingi nakubaliana na wewe kwamba jibu linaweza tokana na setting na inputs za mtumiaji 100%, and it is logically correct from a mathematical point of view.
 
Kama ulisoma shule za Tanzania na ukaelewa vizuri kanuni ya MAGAZIJUTO, jibu sahihi ni 9.

Hao waliopata 1 watakuwa walisomea Somalia.
 
Kama umesha jumlisha (1+2)=3 hupaswi tena kuandika hivi 6÷2(3) kwa maana ulipo jumlisha (1+2) hapo ni sawa uliondoa hizo brackets. Kwahyo ilipaswa baada ya kujumlisha iwe hivi 6÷2×3

Mathematics formula
 
hawajui hesabu hao achana nao
 
Mkuu sorry lakini nasikia hasira sana unaposhindwa hesabu ndogo kama hiyo, so kufungua mabano wewe unaelewa nini kama namba ilo nje ya mabano?
yan me ndio nna hasira yan huwez kutoa mabano
 
Wewe utakuwa umesoma china, mwanangu sitaki asome hiyo sehemu uliyosoma hesabu za namba hii
Wewe nenda kaendelee kupambana na maiti ya Magufuli ndio unachoweza
 
Duh.. Tanzania kumbe watu hawajui hesabu kabisa!
 
Kama umesha jumlisha (1+2)=3 hupaswi tena kuandika hivi 6÷2(3) kwa maana ulipo jumlisha (1+2) hapo ni sawa uliondoa hizo brackets. Kwahyo ilipaswa baada ya kujumlisha iwe hivi 6÷2×3

Mathematics formula
Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .

I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…