Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Scientific Calculator:

6÷2(2+1)

6 ÷ [(2×2)+(2×1)]
6÷ [ 4 + 2]
6÷ 6
=1


Phone calculator

6 ÷ 2 (2+1)
6 ÷ 2(3)
3(3)
= 9

Calculator haijatumia kanuni ya magazijuto ila simu imetumia kanuni ya magazijuto ndio maana majibu yamekuja tofauti.

But both zipo right.

Kwa maoni yangu Smartphone calculator ndio ipo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kanuni (mnemonic) ya magazijuto ni utaratibu waliouweka wanamahesabu ni international recognised hivyo katika swali hilo usipofuata hiyo kanuni huwezi pata jibu sahihi linalokubalika universally. Hivyo jibu sahihi ni 9 na sio 1.
 
Kweli vilaza ni wengi Sana. Hesabu rahisi hivyo halafu kuna mtu. anakuambia jibu ni 1. Jibu ni 9 nyinyi vilaza.
 
Baada ya kulitazama hili nalo mkuu, clearly kwenye scientific calculator umeweka input tofauti na iliyopo kwenye simu. Mwenye macho ataelewa.

Kwa hayo machache naomba nikusihi, uhamie Burundi.

Hahaha! Mkuu umefanya nicheke sana, hasa huo umaliziaji wako.
 
hesabu ni janga la kitaifa, huwezi ukagawanya namba jibu likawa kubwa kuliko namba inayogawanywa!
Jibu ni 1 hiyo calc ya simu haina uwezo wa kufanya hiyo hesabu
[emoji23][emoji23]
 
Kwa bodmas jibu ni 9

Ilichofanya scientific calculator 2(2+1) imekifanya ni mabano yote.. So imefungua kwanza ndio maana jibu limekuja 1

Mfano ukichukua
6÷2(x+y)

Step inayofata itakuwa ni
6/(2x+2y)

X ikiwa 2 na y 1
Jibu ndio linakuwa ni 1
Braza nini hiki unatuletea [emoji23][emoji23] acha kukompliketisha mambo mkuu hesabu siyo ngumu kiasi hicho [emoji23]
 
Kwahiyo jibu ni ngapi ? Smartphone yangu inasema 9 pia.
 
Sasa mkuu mbona umerudi tena kwenye magazijuto[emoji23][emoji23]
 
Hivi kwa akili zako za kawaida 6 ikigawanya hizo namba jibu linakuja 9...hesabu hazina ujanja hapo jibu ni moja hakuna cha kwa bodmas jibu 9
Mzee we umefanyaje hesabu zako? Dah aisee wajuaji waliharibu sana hisabati [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…