Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Hesabu bado ni janga la taifa unaandika ujinga halafu bado unajisifia hadharani
 
Scientific calculator ipo sahihi. Jibu ni 1


Scientific calculator inategemea jinsi ulivyo feed namba zako, yenyewe haina Akili kama wewe yenyewe ni kitendea kazi kama vitendea kazi vingine na vinatii jinsi unavyotaka vitende. Scientific calculator sio mtu.
 
Scientific calculator inategemea jinsi ulivyo feed namba zako, yenyewe haina Akili kama wewe yenyewe ni kitendea kazi kama vitendea kazi vingine na vinatii jinsi unavyotaka vitende. Scientific calculator sio mtu.
Sawa. Mimi sijasemea hayo, nimesemea hiyo expression kwa muktadha wa picha kama alivyoweka na usahihi wa jibu.
 

Umeandika ujinga,
 
Naelezo mengi pumba tupu.
Jibu sahihi ni 1.
 
Acha ujuaji
B bracket- fanya chochote ndani ya bracket
O open bracket
D divide
M multiply
A add
S subtract

So;
B 2+1=3
O 3*2=6
D 6/6=1
We Jamaa muongo hujui hesabu, jibu sahihi ni tisa kama ndo walimu nyie basi ndo Mana wanafunzi wanabwela
 
Acha ujuaji
B bracket- fanya chochote ndani ya bracket
O open bracket
D divide
M multiply
A add
S subtract

So;
B 2+1=3
O 3*2=6
D 6/6=1
We Jamaa bhana unaandika kwa confidence, kumbe hamna kitu uongo mtupu hapo juu
 
Fafanua ili tuone!!, maneno kidogo na akili kiduchu.

Kama jibu ni 1 na kwa hii expression jibu litakuwa ngapi?? 6÷[2(2+1)]
Hii milinganyo miwili ni vitu tofauti ;

6÷2*3=9

6÷2(3)=1

Kama kweli ulisoma hesabu na ukafaulu utakuwa umenielewa.
 
Kimeumana aisee uzi umetembea kishenzi.

Mwenye jibu sahihi hajulikani
 
Hapa Tumia law of logarithms ,tu kazi kwisha


Najua wewe wajua, mimi nataka huyo ndiye afanye ili angalau nijue level yake ya Math ipoje baada ya hapo ndipo ninaweza kufanya naye mjadala.

Kwa mtu anayejua au rather aliyekuwa familiar na Maths hilo ni swali jepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…