Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Wewe naye umewavuruga tu watu hapa. Wambie warejee hesabu za factorization za form two, wataelewa kuwa mbili ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani, imekuwa factorized au tunaweza ita ni common factor


Hicho unachisema ni kweli lakini ni katika specific cases tu zinazo involve operations za × na ÷. huwezi kuwa na mathematical expression yenye operations zote (+, -, ×,÷) halafu hiyo sheria ika apply na BODMAS Isi apply, kumbuka hapo katika 6÷2(2+1) BODMAS ina apply.
 
Hesabu bado ni janga la taifa unaandika ujinga halafu bado unajisifia hadharani
Mkuu,
Amini nakuambia kama na wewe umemaliza hadi chuo na bado unasema jibu ni 1, basi ulikula hela za ada za bure toka kwa mzee wako
 
Fafanua ili tuone!!, maneno kidogo na akili kiduchu.

Kama jibu ni 1 na kwa hii expression jibu litakuwa ngapi?? 6÷[2(2+1)]
Mkuu achana kubishana na hawa vipanga wa HKL
 
Hisabati ni lugha ya namba na Maumbo na watu hawajui tofauti kati ya lugha hii 6÷2(2+1) na lugha hii 6÷[2(2+1)] kwamba ni lugha tofauti za Hisabati.

6÷2(2+1)=9 na 6÷[2(2+1)]=1
 
Mamaae wote huko juu mmetupoteza sana mbona hatuoni jibu vizuri

Mnavunjaje 2(3), ili kuondoa bracket?

Naona utata uko hapo.
 
Mkuu achana kubishana na hawa vipanga wa HKL


Hawa wanahitaji kufundishwa ili wasituaibishe wanapokutana na watu wa mataifa mengine kwani hii itakuwa ni aibu kwa taifa lote mtu tena aliyemaliza Chuo kikuu kushindwa hesabu kama hii;
6÷2(2+1), !!!!😏
 
Katafute vitabu vya kidato cha pili. Mimi hapa pia ni mathematician sio kwamba ni layman kwenye hesabu.
 
Katafute vitabu vya kidato cha pili. Mimi hapa pia ni mathematician sio kwamba ni layman kwenye hesabu.


Najua wewe ni mathematician, lakini kumbuka kuna tofauti kati ya 6÷[2(2+1)] na 6÷2(2+1), kwakuwa kuna mixed operations katika hizo math expressions kitu kinacho govern hapo ni sheria ya BODMAS.

Usiniangushe mwanahisabati mwenzangu.🤣🤣
 
Nimefanya kwa Mac PC inasema 9, Windows inasema 9, Linux inasema 9
 
Mamaae wote huko juu mmetupoteza sana mbona hatuoni jibu vizuri

Mnavunjaje 2(3), ili kuondoa bracket?

Naona utata uko hapo.
Ukiona 2(3)

Maana yake ni 2x3

Sasa kwa kuwa nyuma ya 2(3) kuna tendo la 6÷

hivyo inakuwa 6÷2x3 =

Sasa kwa sheria ya MAGAZIJUTO lazima ufanye kwanza tendo la kugawanya ambayo ni 6÷2 kisha jibu utakalo pata uje uzudishe na 3

Yani hivi (6÷2)x3

Ambapo itakuwa 3x3 = 9
 
Hebu na sisi tujaribu:

6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha mkuu, ulisoma shule gani ili mwanangu asije tia maguu huko
 
Hebu na sisi tujaribu:

6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
Wewe utakuwa umesoma china, mwanangu sitaki asome hiyo sehemu uliyosoma hesabu za namba hii
 
Hivi kwa akili zako za kawaida 6 ikigawanya hizo namba jibu linakuja 9...hesabu hazina ujanja hapo jibu ni moja hakuna cha kwa bodmas jibu 9
Unajua maana ya kufungua mabano? Hiyo 2 ni sehemu ya mabano ndiyo maana hakuna operator yoyote kati ya hiyo 2 na mbano.
 
Kidogo wewe umetoa ufafanuzi sahihi kidogo na wa kueleweka. What started? Magazijuto ilitohoa neno la ki sayansi. Kifupi malizana na mabano kwanza
 
Mkuu lakini unajua maana ya hizi blackest [ ], it's like you're trying to find the absolute value which will always be positive value
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…