View: https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umfikie na ausikilize Pascal Mayalla mezani kwakeMimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
@Mshana Jr
Kitambo sana aisee mkuuunanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
sana,, hivi majarida ya zinduka yanapatikana pale tbc kweli?Kitambo sana aisee mkuu
Mkuu kweli huu wimbo ulikuwa unapigwa asubuhi? Mi nakumbuka ukipigwa jioni Idhaa ya Taifa. Kwangu mimi ndio ilikuwa mida ya kwenda ya kucheza mpira kwenye Uwanja wa Baba Anakataza!unanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
Sina hakika na sidhani kama bado yanatolewasana,, hivi majarida ya zinduka yanapatikana pale tbc kweli?
ulikuwa unapigwa na asubuhi kinachofanya nikumbuke tulikuwa na tabia ya kwenda shamban asubuhi na ki redioMkuu kweli huu wimbo ulikuwa unapigwa asubuhi? Mi nakumbuka ukipigwa jioni Idhaa ya Taifa. Kwangu mimi ndio ilikuwa mida ya kwenda ya kucheza mpira kwenye Uwanja wa Baba Anakataza!
hahaha mkuu swali tata. Namaanisha walikuwa washajitambua miaka hiyo wanaweza kukumbuka jambo.Unaposema wazee wa miaka ya 90 mnamaanisha tuliozaliwa miaka hiyo ni wazee au waliokuwa wazee kipindi hicho?
Huu wimbo ulikuwa unapigwa jioni, enzi hizo tumetoka kwenye shule za kudumu na mfagio.Mkuu kweli huu wimbo ulikuwa unapigwa asubuhi? Mi nakumbuka ukipigwa jioni Idhaa ya Taifa. Kwangu mimi ndio ilikuwa mida ya kwenda ya kucheza mpira kwenye Uwanja wa Baba Anakataza!
Ok.ulikuwa unapigwa na asubuhi kinachofanya nikumbuke tulikuwa na tabia ya kwenda shamban asubuhi na ki redio
Watu mnakumbukumbu sana. Kumbukumbu zinazoniijia kila nikisikiliza huu wimbo nilikuwa bado mdogo sana hata shule sijaanza. Kumbukumbu za ukubwa wa kuanza shule ziko much connected na RFA zaidi.Hahahahahaha daaaaaaah RTD
Asubuhi kulikua na JAMBOO hapo unapigwa mziki wa jamboo, watu Asubuhi tuu wanaanza kusalimiana na katakana siku njema
Mchana nadhani saa Sita kulikua na HONGERA MWANANGU WEEE HONGERA hapo tena salamu na kupeana hongera
Hii SHAAMBANI SHAAMBANI SHAAMBANI MAZAO BORA SHAMBAAANI nadhani ilikuaga jioni hii
Ila saa nane alikuwepo mtangazaji mmoja wa kuitwa MALIMA NDEREMA hapo ni chaguo la msikilizaji
Jumamosi mchana kuna MAMA NA MWANA mtangazaji Mama Deborah Mwenda
Daaaaaaah umenikumbusha mbali saana na hii nyimbo
Pia kulikua na kipindi cha Mashairi mtangaji ni Said Nyoka, mghani alikua mzee mmoja jina limentoka, kipindi nlikua nakipenda saaaaaana
Na kuna kipindi kinaitwa kabla ya KABLA YA LEO SHOWunanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
Hahahahahaha daaaaaaah yaani hizo nyimbo nazitafuta saaana, nashkuru leo nimeupata huu wa shambani, bado wa kile kipindi cha kutembelea wagonjwa hospital, nadhani ilikua jumamosi wanaimba WAKATI UMEWADIA WA SALAMU ZA WAGONJWA HOSPITALIIINI LEO TUNAWAPA POLEEWatu mnakumbukumbu sana. Kumbukumbu zinazoniijia kila nikisikiliza huu wimbo nilikuwa bado mdogo sana hata shule sijaanza. Kumbukumbu za ukubwa wa kuanza shule ziko much connected na RFA zaidi.
Nyimbo adimu kuzipata. Kuna moja walikuwa wanaipiga radio deutche welle hii nayo inanikumbushaga mbali sana. Bila shaka unaukumbuka na huuHahahahahaha daaaaaaah yaani hizo nyimbo nazitafuta saaana, nashkuru leo nimeupata huu wa shambani, bado wa kile kipindi cha kutembelea wagonjwa hospital, nadhani ilikua jumamosi wanaimba WAKATI UMEWADIA WA SALAMU ZA WAGONJWA HOSPITALIIINI LEO TUNAWAPA POLEE
Pia hiyo ya Hongera mwanagu, Jamboo
JumapiliJumamosi mchana kuna MAMA NA MWANA mtangazaji Mama Deborah Mwenda
Daaaaaaah umenikumbusha mbali saana na hii nyimbo
Pia kulikua na kipindi cha Mashairi mtangaji ni Said Nyoka, mghani alikua mzee mmoja jina limentoka, kipindi nlikua nakipenda saaaaaana
Ulikua unapigwa jioni huoo na kipindi kinaanza jioni, kipindi kinahusu wakulimaMkuu kweli huu wimbo ulikuwa unapigwa asubuhi? Mi nakumbuka ukipigwa jioni Idhaa ya Taifa. Kwangu mimi ndio ilikuwa mida ya kwenda ya kucheza mpira kwenye Uwanja wa Baba Anakataza!