Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

unanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
old is more than gold
 
Huu wimbo mzuri sana jaoo mie sio wa 90 nimeusikia miaka ya karibuni tu kwenye kioindi fulani hivi kwenye tv
 
Hahahahahaha daaaaaaah yaani hizo nyimbo nazitafuta saaana, nashkuru leo nimeupata huu wa shambani, bado wa kile kipindi cha kutembelea wagonjwa hospital, nadhani ilikua jumamosi wanaimba WAKATI UMEWADIA WA SALAMU ZA WAGONJWA HOSPITALIIINI LEO TUNAWAPA POLEE
Pia hiyo ya Hongera mwanagu, Jamboo
Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salaamaa leo tunawapa polee...
 
Back
Top Bottom