Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

Jumapili
Wakati umewadia wa salamu kwa wagonjwa hosipitalini wote tunawapa pole x2 halafu linasikika gitaa la solo (ndi ndindindi ndindi ndindindi ndindi)

Acheni kabisa tufanye kampeni ya kurudidha RTD wakuu
Hahahahahaha mie huwa najiuliza saaaaaana kwann TBC idhaa ya taifa wasirudishe hivi vipindi, halafu idhaa nyingine ndo waendelee na vurugu zao za kisasaa??
 
Hahahahahaha mie huwa najiuliza saaaaaana kwann TBC idhaa ya taifa wasirudishe hivi vipindi, halafu idhaa nyingine ndo waendelee na vurugu zao za kisasaa??
Naafikiana na wewe kabisa
Leo hii Idhaa ya Taifa na biashara zirudishwe kama zilivyokuwa zamani watu wengi watahamia huko
Hawa sifiasifia waachiwe TBC
 
Enzi hizo hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana. Wakati huo vita ya kagera imenoga.. njaaa, chakula hakuna......Mungu asiturudishe huko tuliko toka.
 
Kuna ile nyimbo ya watoto wa shule "chei chei shangazi,chei chei shangazi shangazi shangazi eeh,tufurahi shangazi,tufurahi shangazi.."

Gone are those beautiful days. Time is fleeing!!
 
Kwani uzee unaanzia miaka mingapi mkuu?
Umri ni ule serikali inasema ustaafu kwa hiyari ndo uzee unaanzia, ukigoma kuna kustaafishwa kwa lazima ukalee wajukuu. Ilà wassira sijui ni mzee au ngozi tuu mbàya.
 
Back
Top Bottom