Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

unanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
 
Kitambo sana aisee mkuu
 
Mkuu kweli huu wimbo ulikuwa unapigwa asubuhi? Mi nakumbuka ukipigwa jioni Idhaa ya Taifa. Kwangu mimi ndio ilikuwa mida ya kwenda ya kucheza mpira kwenye Uwanja wa Baba Anakataza!
 
ulikuwa unapigwa na asubuhi kinachofanya nikumbuke tulikuwa na tabia ya kwenda shamban asubuhi na ki redio
 
Hahahahahaha daaaaaaah RTD
Asubuhi kulikua na JAMBOO hapo unapigwa mziki wa jamboo, watu Asubuhi tuu wanaanza kusalimiana na katakana siku njema
Mchana nadhani saa Sita kulikua na HONGERA MWANANGU WEEE HONGERA hapo tena salamu na kupeana hongera
Hii SHAAMBANI SHAAMBANI SHAAMBANI MAZAO BORA SHAMBAAANI nadhani ilikuaga jioni hii
Ila saa nane alikuwepo mtangazaji mmoja wa kuitwa MALIMA NDEREMA hapo ni chaguo la msikilizaji
Jumamosi mchana kuna MAMA NA MWANA mtangazaji Mama Deborah Mwenda
Daaaaaaah umenikumbusha mbali saana na hii nyimbo
Pia kulikua na kipindi cha Mashairi mtangaji ni Said Nyoka, mghani alikua mzee mmoja jina limentoka, kipindi nlikua nakipenda saaaaaana
 
Watu mnakumbukumbu sana. Kumbukumbu zinazoniijia kila nikisikiliza huu wimbo nilikuwa bado mdogo sana hata shule sijaanza. Kumbukumbu za ukubwa wa kuanza shule ziko much connected na RFA zaidi.
 
unanikumbusha mbali sana enzi niko mdogo ulikuwa unapigwa mida ya asubuhi,, pia kulikuwa na jumamosi cha watoto kiliitwa cheichei shangazi dah,, kingine cha mambo elimu kilikuwa saa nne asubuhi kina bahati na mawazo ,,alafu saa 9 alasiri kulikuwa na kipindi kiliitwa zindukaaa cha kina jama.. saa kumi kulikuwa na kipindi cha harakati,, duh alafu alfajiri kulikuwa na maneno hayooo
Na kuna kipindi kinaitwa kabla ya KABLA YA LEO SHOW
 
Watu mnakumbukumbu sana. Kumbukumbu zinazoniijia kila nikisikiliza huu wimbo nilikuwa bado mdogo sana hata shule sijaanza. Kumbukumbu za ukubwa wa kuanza shule ziko much connected na RFA zaidi.
Hahahahahaha daaaaaaah yaani hizo nyimbo nazitafuta saaana, nashkuru leo nimeupata huu wa shambani, bado wa kile kipindi cha kutembelea wagonjwa hospital, nadhani ilikua jumamosi wanaimba WAKATI UMEWADIA WA SALAMU ZA WAGONJWA HOSPITALIIINI LEO TUNAWAPA POLEE
Pia hiyo ya Hongera mwanagu, Jamboo
 
Nyimbo adimu kuzipata. Kuna moja walikuwa wanaipiga radio deutche welle hii nayo inanikumbushaga mbali sana. Bila shaka unaukumbuka na huu

View: https://www.youtube.com/watch?v=pO_CzxbhSNw
 
Jumamosi mchana kuna MAMA NA MWANA mtangazaji Mama Deborah Mwenda
Daaaaaaah umenikumbusha mbali saana na hii nyimbo
Pia kulikua na kipindi cha Mashairi mtangaji ni Said Nyoka, mghani alikua mzee mmoja jina limentoka, kipindi nlikua nakipenda saaaaaana
Jumapili
Wakati umewadia wa salamu kwa wagonjwa hosipitalini wote tunawapa pole x2 halafu linasikika gitaa la solo (ndi ndindindi ndindi ndindindi ndindi)

Acheni kabisa tufanye kampeni ya kurudidha RTD wakuu
 
Back
Top Bottom