Wakuu.
Ata kama unakichwa kama yai, karibu cap, haimkatai mtu. Na pia, utapata confidence sio ya nchi hii.
sifahamu kwa wanaozivua wakati wa ibada kama wanakua na confidence tena kwasababu vipara vya ajabu sana hung'aa 🐒Wakuu.
Ata kama unakichwa kama yai, karibu cap, haimkatai mtu. Na pia, utapata confidence sio ya nchi hii.
Self confidence sio issue ya kuvaa kofia hi kitu iko ndani ya mtu.
Mimi sivahi kwa sababu naona hazinipendezi.Tatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.
Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.
Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na unyenyekevu.
Hii mimi naona kama dharau bora kutokuivaa
Mkuu kwa nini unataka kutuingiza chaka sisi wenye vichwa vidogo kama nyoka? Hii kofia ni nzuri sana kwa watu wenye vichwa vikubwa na nyuso pana.Wakuu.
Ata kama unakichwa kama yai, karibu cap, haimkatai mtu. Na pia, utapata confidence sio ya nchi hii.
Watu weusi wenye vichwa vidogo kama Embe DoDo.! Kofia sio rafiki kwao.🤭Mimi sivahi kwa sababu naona hazinipendezi.
Basi usivae kitaani kwako, vaa mitaa ya mbali uko.Tatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.
Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.
Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na unyenyekevu.
Hii mimi naona kama dharau bora kutokuivaa
Vaa barakashea hiyo unavaa muda wote hata kama unakulaTatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.
Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.
Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na unyenyekevu.
Hii mimi naona kama dharau bora kutokuivaa
Kama mazingira gani mkuu?Kuna mazingira ukivaa kofia unapoteza hiyo confidence kabisa.