aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Astaghfirullah šKofia inaongeza ujasiri kwangu
Kwanza siendi bar bila kofia kmmk
Astaghfirullah šKofia inaongeza ujasiri kwangu
Kwanza siendi bar bila kofia kmmk
Hivi Kuna miwani ukivaa unaona normal kabisa?Jaribu na miwaniā¦
Hizi zinatufaa sisi walokole wa huku Nzega vijijini.
Bila picha tutakuaminije?Kofia inaongeza ujasiri kwangu
Kwanza siendi bar bila kofia kmmk
HahahaMkuu kwa nini unataka kutuingiza chaka sisi wenye vichwa vidogo kama nyoka? Hii kofia ni nzuri sana kwa watu wenye vichwa vikubwa na nyuso pana.
Hahaha huu nao ni woga Tu sio confidenceKuna watu hadi alewe ndio inabuild.
Naomba endelea kuvaa mbona kofia zinakupendeza sana bro š¤Tatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.
Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.
Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na unyenyekevu.
Hii mimi naona kama dharau bora kutokuivaa
Wengi Wana caps na mask, kwa hiyo caps ni kwa wauaji? Au wenye malengo ficheVideo zinazotumwa online na kudaiwa ni za utekaji angalia jinsi ya wahusika kama siyo wote basi baadhi wana caps
ššššWatu weusi wenye vichwa vidogo kama Embe DoDo.! Kofia sio rafiki kwao.š¤
Unaona fresh kabisa.. tangu nianze kuvaa miwani sshv nisipovaa au kuiweka kichwani ndio nakuwa sioni mbele, naona urembo unapungua aah bana š¹š¹Hivi Kuna miwani ukivaa unaona normal kabisa?
Maana binafsi nikivaa miwani naona kama Kuna kitu Cha hovyo nimekiongeza kwenye macho, sioni Kwa amani kabisa
š¹š¹ miwani unyamaaYaani nikivaa sunglasses, nikienda kutembea, narudi na Namba mpya tatu.
Nilijaribu miwani niliumwa kichwa sanaJaribu na miwaniā¦
Ulinunua ya waumwa macho?Nilijaribu miwani niliumwa kichwa sana
Kama huna sababu ya kiafya inayokulazimu kuvaa miwani basi usivae ni mbaya sana kwa afya yako ya macho. Hasa hizi tunazonunua tu bila kupata ushauri wa daktari. Yalinikuta nilipoenda kwa mtaalam alinieleza mambo mengi sana ile miwani ipo tu siitumii tena. Kuna muda tunajitengenezea matatizo wenyewe kwa life style yetu na fasheniHivi Kuna miwani ukivaa unaona normal kabisa?
Maana binafsi nikivaa miwani naona kama Kuna kitu Cha hovyo nimekiongeza kwenye macho, sioni Kwa amani kabisa