Wazee wa Mitindo: Kofia aina ya kapelo (cap) inampendeza kila mtu, na inaboost confidence. Karibu!

Wazee wa Mitindo: Kofia aina ya kapelo (cap) inampendeza kila mtu, na inaboost confidence. Karibu!

Bodaboda ni 2,000 mkuu kwenda huko.
Miaka kama 5 Kwa mara ya kwanza nilienda kufanya kazi kule viwanja ilikuwa 1m tu.
Leo ni kuanzia 2m, 3m, na 4 pake senta
Poa mkuu ntatafuta muda nifike huenda kuna fursa huko mbeleni
 
Kuna ile uwalaza unang'aa Kama gold halafu unakuta Tena ni chogo Basi tabu tupu😂😂
Kusipokua na umakini,
mtu anaweza kuharibu ibada hivi hivi tu kwa kicheko kwasababu ya kushangaa vipara mchongoko vya waaumini wanaovua kapelo kwenye nyumba za ibada aise :NoGodNo:
 
Kabla sijaanza maisha ya kufuaga nywele nilikuwa nikizivaa sana.

Ilikuwa ninaweza kutoka nyumbani labda ninaelekea point flani,nikikumbuka nimeshahau kofia tu,nilikuwa radhi nitafute duka ili nipatiwe kofia.

Baada ya kufuga na kuanza kuziachia nywele sasa ni mwendo wa miwani muda wote.
 
Hivyo vitu viwili, Kofia au Miwani, vina Raha yake aisee
 
Si kila sehemu kaka, kuna siku nilivaa nikaenda ukweni mambo hayakuenda vizuri
 
IMG-20260720-WA0009.jpg
ukihitaji ya chata yoyote inbox 📥 me plz
 
Back
Top Bottom