Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hapana hizi za kawaida za juaUlinunua ya waumwa macho?
Hapana hizi za kawaida za juaUlinunua ya waumwa macho?
Ulichukua ipi? Nadhani hapo dukani hukuuliza vzuriHapana hizi za kawaida za jua
Afu 5 mbona bei mbaya sana mkuu.😹😹 miwani unyamaa
Ila sio ile ya afu 5
😹😹 ndio maana ulikuwa huoni mbele..Afu 5 mbona bei mbaya sana mkuu.
Mimi nilinunua Tandale afu 3 tu
Anza kununua zile za 180 nzuri mbonaAfu 5 mbona bei mbaya sana mkuu.
Mimi nilinunua Tandale afu 3 tu
Sehem sahihi ya kupata kilicho sahihi ni kwa wataalam wa macho(optometrist) huku kwengine wengi wapo kibiashara zaidi japo wachache wapo vizuri. Ubaya wa hivi vitu madhara utakuja kuyaona baadae. Mimi nilitumia zaid ya 3 months baada ya hapo ndio nikaanza kupata maumivu makali ya kichwa na nilipoenda kwa wataalam shida ikawa natumia nguvu kubwa kuona wakati sina changamoto yoyote ya macho. Mimi nilikuwa nadhani natumia kuzuia mwanga mkali wa computer na jua kumbe ni tofauti at the same time nilikuwa natumia nguvu kubwa kuona na hili siku nalifahamu na ndilo lililopelekea mpaka kichwa kuuma.Ulichukua ipi? Nadhani hapo dukani hukuuliza vzuri
Mie nilianzia ya kuzuia mwanga wa PC.. kuna wakati nilikuwa natizamana na PC muda mrefu, nikitoka hapo komwe lote linauma..
Labda nipate kazi wizarani nitumie Kodi zenu watanganyika ndiyo nitanunua miwani Kwa 180,000 😁Anza kununua zile za 180 nzuri mbona
Dahh wenzio wakifika huko wanawaza lc300 wewe unajirudisha kwenye mawani? Basi utakuwa muaminifu sana😁Labda nipate kazi wizarani nitumie Kodi zenu watanganyika ndiyo nitanunua miwani Kwa 180,000 😁
Kwahiyo wa wizarani ndio wanavaaga za bei hiyo?Labda nipate kazi wizarani nitumie Kodi zenu watanganyika ndiyo nitanunua miwani Kwa 180,000 😁
Pole.. mimi ninakaribia mwaka sasa 😹Sehem sahihi ya kupata kilicho sahihi ni kwa wataalam wa macho(optometrist) huku kwengine wengi wapo kibiashara zaidi japo wachache wapo vizuri. Ubaya wa hivi vitu madhara utakuja kuyaona baadae. Mimi nilitumia zaid ya 3 months baada ya hapo ndio nikaanza kupata maumivu makali ya kichwa na nilipoenda kwa wataalam shida ikawa natumia nguvu kubwa kuona wakati sina changamoto yoyote ya macho. Mimi nilikuwa nadhani natumia kuzuia mwanga mkali wa computer na jua kumbe ni tofauti at the same time nilikuwa natumia nguvu kubwa kuona na hili siku nalifahamu na ndilo lililopelekea mpaka kichwa kuuma.
Mtu wa wizarani haoni ajabu kununua miwani Kwa milioni mbili, Kwa sababu ni Kodi zetu.Kwahiyo wa wizarani ndio wanavaaga za bei hiyo?
Kiwanja cha ukubwa gani mkuu nje ya mada kidogoMtu wa wizarani haoni ajabu kununua miwani Kwa milioni mbili, Kwa sababu ni Kodi zetu.
Wakati mimi hiyo milioni mbili nawaza nikaongeze kiwanja Chanika Kidugalo huko.
Hongera yako tangu yanitokee hayo na nilipoacha nikapona sitamani miwani kabisa.Pole.. mimi ninakaribia mwaka sasa 😹
Na ninanunua kwa wauza miwani & lenses sio dukani kwa kawaida..
20x20 mkuuKiwanja cha ukubwa gani mkuu nje ya mada kidogo
Kunafikika kirahisi au ni ndani ndani sana20x20 mkuu
sifahamu kwa wanaozivua wakati wa ibada kama wanakua na confidence tena kwasababu vipara vya ajabu sana hung'aa 🐒
Self confidence sio issue ya kuvaa kofia hi kitu iko ndani ya mtu.
Bodaboda ni 2,000 mkuu kwenda huko.Kunafikika kirahisi au ni ndani ndani sana