Wazee wa Mitindo: Kofia aina ya kapelo (cap) inampendeza kila mtu, na inaboost confidence. Karibu!

Tatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.

Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.

Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na unyenyekevu.


Hii mimi naona kama dharau bora kutokuivaa
 
Mimi sivahi kwa sababu naona hazinipendezi.
 
Basi usivae kitaani kwako, vaa mitaa ya mbali uko.
 
Vaa barakashea hiyo unavaa muda wote hata kama unakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…