Wazee wa Mitindo: Kofia aina ya kapelo (cap) inampendeza kila mtu, na inaboost confidence. Karibu!

Naomba endelea kuvaa mbona kofia zinakupendeza sana bro πŸ€“
 
Hivi Kuna miwani ukivaa unaona normal kabisa?
Maana binafsi nikivaa miwani naona kama Kuna kitu Cha hovyo nimekiongeza kwenye macho, sioni Kwa amani kabisa
Unaona fresh kabisa.. tangu nianze kuvaa miwani sshv nisipovaa au kuiweka kichwani ndio nakuwa sioni mbele, naona urembo unapungua aah bana 😹😹
 
Hivi Kuna miwani ukivaa unaona normal kabisa?
Maana binafsi nikivaa miwani naona kama Kuna kitu Cha hovyo nimekiongeza kwenye macho, sioni Kwa amani kabisa
Kama huna sababu ya kiafya inayokulazimu kuvaa miwani basi usivae ni mbaya sana kwa afya yako ya macho. Hasa hizi tunazonunua tu bila kupata ushauri wa daktari. Yalinikuta nilipoenda kwa mtaalam alinieleza mambo mengi sana ile miwani ipo tu siitumii tena. Kuna muda tunajitengenezea matatizo wenyewe kwa life style yetu na fasheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…