Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.