Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Pole sana kwa yaliyokukuta
 
Pole, unabweka hadi umesahau unachoandika.

Tunajiheshimu sana. Shida wanatuomba sana hela. Tukiwakopesha hawalipi badala yake wanajichekesha chekesha mbele yetu na kusema waume zao hawatuma hela ili warejeshe. Kifuatacho, tukitupa neno tu, hao washavua hadi nguo za ndani. Tufanyeje?

Tunzeni wake zenu kwa mahitaji ya miili, mioyo na akili. Unahama nyumbani miezi sita hujatuma hata mia wala kurudi. Unategemea nini?

Wengine mpo mazingira ya nyumbani na wake zenu, lakini hamlali na wake zenu kisa mko busy na biashara kumbe michepuko tu. Wake zenu waliwe na nani kama siyo sisi na wahuni wenzenu?

Jifunzeni kuishi nao kwa akili siyo kupiga kelele.
 
Daaah mkuu unachofanya sio haki sio haki kabisa..

Mnafanya vijana tusikae kwa amani.
Mbona kuna wazee wenzenu wametulia hawana hayo mambo.

Acha nifoke tu mkuu maana wanasema ili usikike lazima ufoke tena kwa sauti.

Wazee wa hovyo mnazinguwa kabisa na ipo hivi dawa yenu inachemka .

Mwaka huu laizima kieleweke.
 
Vijana tunajikaza kisabuni kutafuta chochote kitu
Wenyewe wanajua ku pita nao tuu..
Mwaka huu tutapigana
Tutatukanana aiseee
Tumewaachia mashangazi mkahudumiwe mpige mashine bure mlelewe, sisi tumeamuwa kuvitunza vitoto tunajuwa vizuri mahitaji yao hasa ya kipesa.

Nakushauri kuwa mpole tu au tafuta mnyonge wako na wewe umgongee.
 
Dr matola wewe siku hizi unashida.
Nina uhakika simu kashika mtu mwingine sio wewe.

Sisi hao mashangazi ni kitu kisicho shangaza ila sasa linapikuja suala la kuweka compitation na kijana ambaye unajua kabisa yupo anajitafuta hiyo sio fair kabisa.

Dr niseme tu inabidi ifikie wakati mjiheshimu la si hivyo tutakuja kufanya jambo la ajabu juu yenu

Vijana wengi wanajikaza kisabuni ila roho inawauma.

Mi leo nawasemea
 
Mi mzee akila kitumbua changu na chake kitaliwa tu ama mke wake au binti zake, hali ni mbaya kwa kweli inakera
Newton 3rd law.
To every action = Reaction
Ndo kinachoenda kutokea na tutafanya zaidi ya hayo.

Kama wameshindwa kujiwekea mipaka ngoja tuwaoneshe kuwa hata sisi tunaweza
 
Unakuta mzee ananyemelea kipusa cha kijana wa watu ili aruke nacho. Binti yuko sawa na mabinti zake lakini zee la nyeti linasarandia lile. Mi huwa nawatia jambajamba wazee wenye tabia mbaya za namna hii. Kama vipi mkono unapigwa tu
 
Dr Matola PhD
Mwenye phd yake. Humu ndani kuna mashangazi na watoto wa 2000 ila angalia mnachokifanya nyie mnataka ku overtake pote pote.

Maana hao mashangazi wa humu wanasema hawataki kulea wanataka wazee.

Tukienda kwa age mates wetu bado mnatubania.
Hii ni ubequal food chain ecosystem
 
Dr matola wewe siku hizi unashida.
Nina uhakika simu kashika mtu mwingine sio wewe.

Sisi hao mashangazi ni kitu kisicho shangaza ila sasa linapikuja suala la kuweka compitation na kijana ambaye unajua kabisa yupo anajitafuta hiyo sio fair kabisa.

Dr niseme tu inabidi ifikie wakati mjiheshimu la si hivyo tutakuja kufanya jambo la ajabu juu yenu

Vijana wengi wanajikaza kisabuni ila roho inawauma.

Mi leo nawasemea
Unapoteza energy yako bure, kipindi sisi tunakuwa mtoto wa kiume anapewa pesa kwao na wazazi wake na mtoto wa kike anapewa pesa kwao na wazazi wake mkikutana nyinyi ni mapenzi tu ndio yanawaunganisha na si kitu kingine.

Sasa hivi ni tofauti, vitoto majukumu ya wazazi wao wamehamishia kwa masponsor na wewe kijana unayejitafuta huwezi kumeet demand zake unajitafutia stress bure tu.

Dunia imeshaavaa kimini hii, kama vipi wewe kataa ndoa tu, ndoa ni hatari kwa afya yako.
 
Unakuta mzee ananyemelea kipusa cha kijana wa watu ili aruke nacho. Binti yuko sawa na mabinti zake lakini zee la nyeti linasarandia lile. Mi huwa nawatia jambajamba wazee wenye tabia mbaya za namna hii. Kama vipi mkono unapigwa tu
Hawa wazee kuna mda tutawapiga pipe..
Mi nimepanga tamiliki pipe kwa ajili ya mahasidi kama hawa.

Una kuta mzee anakamia show kabisa na mikongo wanapaka.

Wazee mna nini nyie.
 
Wazee
 
Attachments

  • IMG-20240605-WA0151.jpg
    IMG-20240605-WA0151.jpg
    25.6 KB · Views: 4
Unapoteza energy yako bure, kipindi sisi tunakuwa mtoto wa kiume anapewa pesa kwao na wazazi wake na mtoto wa kike anapewa pesa kwao na wazazi wake mkikutana nyinyi ni mapenzi tu ndio yanawaunganisha na si kitu kingine.

Sasa hivi ni tofauti, vitoto majukumu ya wazazi wao wamehamishia kwa masponsor na wewe kijana unayejitafuta huwezi kumeet demand zake unajitafutia stress bure tu.

Dunia imeshaavaa kimini hii, kama vipi wewe kataa ndoa tu, ndoa ni hatari kwa afya yako.
Yaani ni mtaalamu wa afya lakini una maneno ya kuchoma choma hivi unaweza kushauri wewe.

Maana hapa sio ushauri unataka nikatae ndoa alafu nyie ndo mfaidi au..?
 
Kwa kweli inakera sana!
Lakini hata hivyo wakati mwingine ni tatizo lao!
Kwa mfano sasa hivi kuna wimbi kubwa la wasichana na masingles wanaojipeleka kwa Wazee wenye uwezo wakiwa na nia ya kuwachuna!
Ukiwauliza wanakwambia Wazee wanajua kulea! Mara ng'ombe hazeheki maini.
Wazee wakiwaambia uwezo kitandani ni mdogo,wanaambiwa huko niachie mimi nitajua cha kufanya! Hata kama imelala? wanaambiwa nitaisimamisha!
Shida ni fedha mkuu!
 
Back
Top Bottom