Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #41
Nakemea haya mapepo nyemelezi...Kwa kweli inakera sana!
Lakini hata hivyo wakati mwingine ni tatizo lao!
Kwa mfano sasa hivi kuna wimbi kubwa la wasichana na masingles wanaojipeleka kwa Wazee wenye uwezo wakiwa na nia ya kuwachuna!
Ukiwauliza wanakwambia Wazee wanajua kulea! Mara ng'ombe hazeheki maini.
Wazee wakiwaambia uwezo kitandani ni mdogo,wanaambiwa huko niachie mimi nitajua cha kufanya! Hata kama imelala? wanaambiwa nitaisimamisha!
Shida ni fedha mkuu!
Nakemea nakemea..
Tuungane mkuu kukemea haya mapepo yaliyo wakuta dada zetu